Mzee Mbarouk Mshimba wa Chadema amkana Hadharani Mwanawe Uzini

Hizo ni siasa tu, Bw mkubwa kapewa mshiko ili atamke utumbo. Nakumbuka mwaka 1995, siasa za baba na mwana zilipamba moto. Mw Nyerere VS Makongoro Nyerere. Mwalimu akimpigia kampeni Mkapa wakati Makongoro akimpigia kampeni Mrema, mtoto akiwaomba wa tz wampuuze baba yake na kwamba yeye anamfahamu saaana, na baba akidai mwanae kachanganyikiwa hivyo wa tz wampuuze. HIZO NI SIASA TU, BAADA YA UCHAGUZI UNDUGU UNARUDI, HAKUNA CHA RADHI WALA NINI.
 
Hii ni dalili moja kubwa ya kushindwa vibaya kwa Mbarouk. kama anataka ushindi ni lazima akamwangukie babaye ili amridhie.

Pole sana Mbarouk


pole wewe unayedandia FIAT kwa mbele......radhi huwa hazimuathiri mtu kama hazina haki, huyo mzee hizo radhi zitamrudia na mapenzi yake na magamba hayatamsaidia.....mizee kama hii ndo haielewi hata maana ya uhuru. kama mwanae hana huo uwezo wa kuongoza si amnyime kura tu,ya nini kuyasema majukwaani???tumewazoea hao msimu wa kupikiwa pilau na magamba na akili wanaziweka rehani kidogo.
soma Ephesians 6:1 ''Children, obey your parents in the Lord: for this is right''.....in the LORD inamaanisha katika Mungu,katika haki....kumuambia mtoto hana uwezo wa kuongoza alijuaje kuwa hana uwezo? kama wanaUZINI wakiona anafaa basi atawafaa na atafanya nao kazi kama kawaida.

Mbarouk achana na Baba yako ila uendelee kumheshimu kama baba na umpe heshima yake....utakapokuwa unaapa kuwatumikia wanaUZINI usisahau kumpongeza na kumshukuru kwa kukulea na kukufanya hivyo ulivyo.
 
Hii ni dalili moja kubwa ya kushindwa vibaya kwa Mbarouk. kama anataka ushindi ni lazima akamwangukie babaye ili amridhie.

Pole sana Mbarouk

Huyu baba amepimwa akili au ndiy kalewa POSHO!
 
Hii ni dalili moja kubwa ya kushindwa vibaya kwa Mbarouk. kama anataka ushindi ni lazima akamwangukie babaye ili amridhie.

Pole sana Mbarouk


Baru bana! bado hujui Kudra ya MMungu ni kuu na haiangalii kelele za Binadamu?
Hapo waallah kelele za baba hazina madhara yeyote! Tena ni dalili tosha kwamba huyo si mwanaye! Asilani siwezi kumheshimu baba ambaye hajiheshimu kwa kunichukulia mke wangu ati!
Huyo baba au kibaba?
 
Subiri matokeo kama hautasikia kaangukia pua.

Kwa mpango huu naweza kusema pasi na shaka yoyote ushindi kwake ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano.

Mpeni pole mgombea wenu na kumsihi aende kumwangukia mzazi wake ili mambo yawe sawa.
 
Yawezekana huyo mzee ana muda mrefu akiishi kuzimu,sasa alipoingia hapa duniani,amekuta mambo yanayomzidi uelewa.Hivyo basi ameshituka akiwa ameshasema hayo aliosema.
 
Mzazi anakiri kuwa mtoto wake ambaye serikali imemwamini na kumpa jukumu la kuwafundisha wanafunzi/watanzania alifuzu vizuri mitihani, Chama kikuu cha upinzani Tanzania kinacho aminika na Watanzania wengi Kimemwani HUYU halafu yeye anakurupuka na kutoa kauli hizi (kama za kweli) Huyu mzazi hafai hata bure pia akumbuke kuwa mtoto anakuwa wake akiwa tumboni otherwise jamii inamtegemea

Gazeti hili kama limeandika hii habari basi mbali na kutokulisoma kwa sasa naacha hata kulisikia haiwezekani Gazeti la serikali likaandika habari za UDAKU kama hizi
 
Hivi mwanae akishinda ataendelea kumkana?Natamani iwe hivyo kama hujasikia dingi
akisema vyombo vya ahbari vilimnukuu vibaya.
 
Mie siwezi kuongea chochote kwa sasa mpaka uchaguzi umalizike kwanza.
 
Magamba wapo makini kwa kucheza rafu wameamua kumtumia mzazi hii kali
 
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani.
amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.

Nadhani Habari leo ndio limeandika.
my take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka

siasa kumbe ni tofauti na ninvyofikiria, kama mzazi wangu anaweza kutamka hadharani kwamba mimi sina uwezo wa kuongoza. vp kama wananchi wakinichagua na kunipa ridhaa ya kuwaongoza kwenye mabadiliko ya kweli itakuwaje si anaweza kujinyonga au naye atatembea uchi ka RITZ/.

Sasa nimeamini umuhimu wa kitengo cha propaganda, lakini mbona tuhuma ni kwa mgombea wa CDM pekee kwani vipi vyama vingine havijachagua wakugombea au wenyewe wako safi hawana tuhuma.?
 
Kaka kama huna hata uhakika na source inayojenga inferences zako, conclusion yako itaaminikaje mkubwa. Acha porojo. Weka hapa hoja zinazojitosheleza kamanda. Source ya Habari Leo ni ipi, lini, kwa wakati gani, mahali gani. Jenga hoja kisha wenye sources za uhakika tukupatie uhalisia wa suala hilo. La sivyo utakuwa ni uongo na uzushi mkubwa, uso mfanowe.[/QUOTE
Mkuu maneno makali hayo, kosa lake ni kuleta story kutoka kwenye source aliyoitaja, au kosa lake ni kutotoa reference kamili ya source yake kwa maana ya toleo lipi na la tarehe ngapi?

Haya kwa kuwa wewe una source una wajibu wa kueleza vizuri je ni kweli huyo babake kayasema hayo? Majibu yenu kwa wana Uzini mlitoa yapi?
 
Kaka kama huna hata uhakika na source inayojenga inferenceszako, conclusion yako itaaminikaje mkubwa. Acha porojo. Weka hapa hojazinazojitosheleza kamanda. Source ya Habari Leo ni ipi, lini, kwa wakati gani,mahali gani. Jenga hoja kisha wenye sources za uhakika tukupatie uhalisia wasuala hilo. La sivyo utakuwa ni uongo na uzushi mkubwa, uso mfanowe.

Na wewe huna haki ya kumshambulia mwenzako, amekutajia sosi bado walalama, sisawa!
Hata mimi nimesikia kwenye kipindi cha magazeti asubuhi ya leo - huenda babakarambishwa pipi ya magamba na kulishwa maneno, maana kwa mbinu chafu hao nimabingwa.

 
Barubaru, mnazi wa siasa za kizanzibari na ubaguzi wa kieneo. Pole sana wewe kwanza kwa kushindwa kuchambua mada sawasawa na pili kwa usahaulifu. Baba ni mzazi na mlezi kwa mwanae, lakini ni Muumba. Ndio maana maisha ya mwanadamu yanawategemea wazazi kwa wakati fulani tu na si wakati wote.

Si lazima kwa baba kufahamu undani wote wa mwanae, na si lazima kwa mwana kuwa kama baba. Kwa tathmini nyepesi tu, baba ambaye ni mkereketwa wa CCM hawezi kukubaliana na mtoto mwenye itikadi tofauti na yeye kichama.

Kwa kukukumbusha mnamo mwaka 1995, wakati uchaguzi wa vyama vingi unafanyika kwa mara ya kwanza, Makongoro Nyerere, aligombea kupitia chama cha NCCR mageuzi, jimbo la Arusha mjini.

Mwl. Nyerere (Baba mzazi wa makongoro), alimpinga na kuwaomba watu wa Arusha wasimpe kura kwa kuwa yeye na chama chake hawawezi kuongoza. Watu wa Arusha walikuwa na imani nae, na akashinda licha ya ushawishi mkubwa wa Mwalimu na CCM wakati huo.

Mtu yule yule asiyefaa kuongoza, leo ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara. Dondoo nyingine ndogo tu, hata mkewe Makongoro alimwadhibu kwa kosa la kupiga honi mahakamani akiwa hakimu mkazi mahakama ya mkoa Arusha. So hayo ndo mambo ya itikadi yalivyo BARUBARU.
 
Barubaru, mnazi wa siasa za kizanzibari na ubaguzi wa kieneo. Pole sana wewe kwanza kwa kushindwa kuchambua mada sawasawa na pili kwa usahaulifu. Baba ni mzazi na mlezi kwa mwanae, lakini ni Muumba. Ndio maana maisha ya mwanadamu yanawategemea wazazi kwa wakati fulani tu na si wakati wote. Si lazima kwa baba kufahamu undani wote wa mwanae, na si lazima kwa mwana kuwa kama baba. Kwa tathmini nyepesi tu, baba ambaye ni mkereketwa wa CCM hawezi kukubaliana na mtoto mwenye itikadi tofauti na yeye kichama. Kwa kukukumbusha mnamo mwaka 1995, wakati uchaguzi wa vyama vingi unafanyika kwa mara ya kwanza, Makongoro Nyerere, aligombea kupitia chama cha NCCR mageuzi, jimbo la Arusha mjini. Mwl. Nyerere (Baba mzazi wa makongoro), alimpinga na kuwaomba watu wa Arusha wasimpe kura kwa kuwa yeye na chama chake hawawezi kuongoza. Watu wa Arusha walikuwa na imani nae, na akashinda licha ya ushawishi mkubwa wa Mwalimu na CCM wakati huo. Mtu yule yule asiyefaa kuongoza, leo ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara. Dondoo nyingine ndogo tu, hata mkewe Makongoro alimwadhibu kwa kosa la kupiga honi mahakamani akiwa hakimu mkazi mahakama ya mkoa Arusha. So hayo ndo mambo ya itikadi yalivyo BARUBARU.
Mkuu, watu kama Barubaru bin waluwalu wasikuumize Kichwa....huyu mtu ni hamnazo kama Ritz wa JF.
 
mgamba ni balaa wanatenganisha mpaka  wanafamilia,huku ni kutapatapa tu magamba mwisho wwenu huwooooo CHADEMA FOR UZINI MPAKA KIELEWEKE
 
Back
Top Bottom