Mzee Makamba: Kikwete peke yake hawezi kuleta maisha bora!

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Baada ya kimya cha muda mrefu katibu mkuu Mstaafu wa CCM Makamba ameibuka na kusema kuwa maisha bora kwa kila mtanzania hayawezi kuletwa na rais JK peke yake.

Zilikuwa ahadi ni ndoto...?
 
Du!, Amenikumbusha zile kauli za Jaji mkuu wa zamani. alipostahafu ndio alisema kuwa katiba yetu ina mapungufu 100. Lakini alipokuwa madarakani alisema katiba yetu ipo swari. Hii ndio bongo bwana.
 
amesema wapi maneno hayo?

Kigwangalla; hata kama hajasema lakini yeye Makamba, wewe mwenyewe Kigwangalla, mimi na mtu yeyote yule (including m.k.w.ere mwenyewe) anajua kuwa ahadi ya maisha bora kwa kila Mtanzania ilikuwa porojo.
Unabisha?
 
amesema wapi maneno hayo?

Hi sir, do not temper with your public esteem, read betweene the lines to get the context right -- jamii inakuamini sana kama kijana shupavu na makini bila shaka kiakili pia, sidhani kama una ujasili wa kujenga hoja za kutosha kupingana na maudhui ya andiko la mleta mada. Kama kiongozi, ni vizuri uka-argue na tafasiri au ujumbe mahususi wa thread kwa kuielimisha jamii ukithibitisha kivigezo utekelezaji wa "maisha bora kwa kila Mtanzania" kuliko kuwa-drawn into non-essential picks - ambazo sio interest ya public.

Asante sana.
 
Kujaribu.jpg
 
Naona makamba nae hakumwelewa jk kuwa ni msanii.aliposema maisha bora kwa kila mtz hakumanisha kuwa ni kwa kila mtz yeyote.alikuwa ana manisha kuwa maisha bora kwa kila kigogo ,maisha bora kwa kila mtoto wa kigogo na bora maisha kwa kila mtanzania.
 
Emma.;
Acha uzushi wewe! Habari za kuhadhiwa usizilete JF. Alichosema Mzee Makamba ni kwamba maisha bora hayawezi kuja bila kufanya kazi na kushirikiana. Aliwashangaa wanaomlaumu Kikwete na Serikali bila kuwajibika. Maisha bora hayawezi kuletwa na Kikwete peke yake huo ndio ukweli aliousema Mzee Makamba.
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha makala moja ya Gazeti pendwa MWANAHALISI, waliandika article inayosema TAIFA KUWA NA KIONGOZI KAMA MAKAMBA NI JANGA LA KITAIFA.baadhi ya sehemu kwnye hyo makala ilisema akili ya makamba imejaa kutu,
huyu baba ananiachaga hoi sana.
 
amesema wapi maneno hayo?
Mh ILa ukweli ndo huu.. maana Chama chetu kimeishashindwa, Parking airport 1000 per hour hata ukikaa 5min, Pension hakuna mpaka 55yrs, Ukinunia gari mmeongeza kodi maradufu na mwishowe tunalipia fire 30,000/- wakati fire wenyewe hawajielewi hata kazi zao, Maisha yako juu sana kwa kama Mzee Makamba kasema hv sioni kama kakosea maana utakuja kutwambia "anapaswa kusema kwenye vikao vya chama"......
 
Back
Top Bottom