Mzee Makamba alimpigia debe Manji kuwa mbunge

Juzi juzi hapa nimetembelea kigamboni!!!!

Nikaonyeshwa eneo Kubwa saaaaaaaana zaidi ya heka 100! kuwa manjia amenuanua hilo eneo. Loye hilo liko baada ya mji mwema. Eneo hilo ni beach ninadhani yeye kanunia kwa hela kiduchuu!!!!!!!!!! Lakini atakamua hela hapo siku za baadaye!!!!!

Mkira
More dataz please, Kigamboni bado kunauzika? Maana nilisikia serikali imesimamisha utoaji hati za umiliki kupisha wawekezaji. Wakigamboni wanatakiwa kulipwa fidia kupisha wenyenchi
 
Nyumba ya Makamba ya serikali alinunuliwa na Manji. That is why

Naam na huyu Mzee haishi kujipitishapitisha ofisini kwa Manji ili akakirimiwe na hata pesa ya kuwasomesha watoto wake January na Mwamvita Marekani inasemekana alipewa na Manji halafu akiitwa fisadi anakuwa mbogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom