Mzee makamba ahadi ni deni wa tanzania wanakudai kwa kauli hii.

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
Kwa miezi sasa tumekuwa tukisubiri kauli ya Mh Makamba aliyosema atamjibu mama Anna Kilango ile kauli yake aliyotowa zidi ya mafisadi ndani ya CCM ,matokeo yake mzee makamba ameshindwa hata kuomba radhi kwa wa TANZANIA kwa kushindwa kuitekeleza ahadi yake,jee huyu ni kiongozi wa kuwekwa manani?
 
Huyu ni kama jamvi hili tu kila mtu husemea atakacho. Propaganda tu!! Wasemaji sisemu wengi lakini watendaji Magufuli na nani mwingine? Hebu mulika kidogo na jazia list
 
Back
Top Bottom