Mzee Kingunge live ITV akielezea jinsi alivyomfahamu Nyerere?

Amehitimisha kwa kutaka Nyerere day iwe siku ya kuzaliwa kwake(Nyerere) tarehe 13/04/1922.Na tarehe 14/10/1999 iwe tu kukumbukia siku ya kufariki kwa Mwalimu Nyerere.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom