Mzee kijana Sharubaru huyoooooooooooooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
251822_137564189718232_2106193069_n.jpg
 
nilikuwa najifanya na mm mwanasiasa! nkaona naingiwa uchizi tu! nimeamuwa kuamia photoshop!
Umetoka mbio kule unatakia uwe Mwanamme wa shoka kule kwenye jukwaa la Siasa, kuna watu wapo makini Siasa wakiamka Siasa wakilala Siasa wakienda kula Siasa nini maana ya Siasa? ni uongo wa hali ya juu ndani ya Serikali zilipo Duniani markj
 
Last edited by a moderator:
Umetoka mbio kule unatakia uwe Mwanamme wa shoka kule kwenye jukwaa la Siasa, kuna watu wapo makini Siasa wakiamka Siasa wakilala Siasa wakienda kula Siasa nini maana ya Siasa? ni uongo wa hali ya juu ndani ya Serikali zilipo Duniani markj

ngoja niwe photo viewer tu! huko kwingine ntakuwa nasoma hbr tu! nini kimejiri! mana watu wengine wanajifanya mossad,wenginr cia,kgb yani utakoma mwenyewe kule
 
Mkuu Umewagunduwa kule kwenye jukwaa la Siasa kuna Makundi ya watu wapo Al-Qaida,wapo mossad,wapo KGB, wapo CIA ,wapo Scotland yard na kadhalika kila mtu ana Siasa yake na maneno yake tofauti kabisa ukiwa kule lazima uwe ni chizi maarifa bila ya hivyo hutapaweza kabisa markj
 
nilikuwa najifanya na mm mwanasiasa! nkaona naingiwa uchizi tu! nimeamuwa kuamia photoshop!

Utakuwa umekutana na zomba na MAMAPOROJO kule. lile jukwaa mie huwa naenda na ndovu saba na viroba kadhaa ndo kidogo naenda nao sawa,nikienda na akili yangu dakika mbili nyingi BAN inanihusu!
 
hahaha! yule master ni hatari! umenichekesha sana.
 
Mkuu Umewagunduwa kule kwenye jukwaa la Siasa kuna Makundi ya watu wapo Al-Qaida,wapo mossad,wapo KGB, wapo CIA ,wapo Scotland yard na kadhalika kila mtu ana Siasa yake na maneno yake tofauti kabisa ukiwa kule lazima uwe ni chizi maarifa bila ya hivyo hutapaweza kabisa markj
Wakazi wa Mabwepande mbona umewasahau?
 
mzee wa pande za msambweni sio! hahaha! bora nimeamia huku kwenye jf photo tu! mana huko kwingine wajuaji wengi ni mwendo wa kugombana tu.

naona jingalao amekutoa nduki kweny thread ya ct scanner aaah. Unataka watibu kizaman yeye anataka serikali itumie magar ya zaman
 
unaona vinavyonoga hapo! mimi nataka zitumike ct scane za macho, yeye anatka serikali itumie bito na 504! basi wee patamu hapo! hahaha! ngoja nijiburudishe na wakina MZIZI MKAVU,MbUZI MZEE N.K! KWANZA HUKU KUPATA LIKES NA COMMENTS NI UHAKIKA! kule ikija cooments ujue tusi tu!
 
Back
Top Bottom