mzee kachanganywa

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
[h=6]Mzee mmoja alikwenda mjini kumtembelea mtoto wake, baada ya kufika jioni kikaandaliwa chakula mzee alikula sana ghafla akasikia mama anamwambia Juma"hebu mletee babu yako tishu"mzee kusikia hivyo akasema "aaa jamani nimeshiba mniwekee nitanywea chai kesho asubuhi"[/h]
 
Back
Top Bottom