Mzee Juma Mwapachu aula

Hivi ni mwapachu huyu ninayemjua aliyekuwa mbunge wa Tanga. ambaye nilimuuliza swali pale bwaloni Tanga Tech Majibu yake yakasababisa wanafunzi na baadhi ya walimu tuka mwachia ukumbi? Kweli usilolijua ni usiku wa giza hivi huyu mnaweza kumwita jembe? Waliokuwepo Tanga Tech 1995 wanafahamu nini namaanisha
 
Sijasema wanyonge wa TZ coz hakuwa kinara wa serikali ila watu wa institution ya EAC, wengi wanamkumbuka. Check records kwenye eachq.org or eac.int , take time to perus our web and see what am saying.

wewe tuandikie hayo aliyofanikiwa kule utuletee hapa. mimi nimeeenda huko sijakuta kitu
 
African Barrick Gold plc (ABG) has appointed Juma Mwapachu as one of its non-executive directors with effect from last Thursday.

Hongera Mzee wetu, you did a great job as secretary general of EAC, linda raslimali za Tanzania na Africa kwa nguvu zote, maslahi ya mnyonge kwanza.

Heshima mbele sana mkuu BNN,

Hon, Ambassador Juma Mwapachu ni miongoni mwa watanzania wachache makini waliowahi kufanya kazi kwenye serikali yetu, Hongera Tanzania na Mungu akubariki sana.
 
Non-executive Director? Mhh! Anyway Congrats mzee wetu! Utumwa ule ule kwa mbinu tofauti.
 
Hivi ni mwapachu huyu ninayemjua aliyekuwa mbunge wa Tanga. ambaye nilimuuliza swali pale bwaloni Tanga Tech Majibu yake yakasababisa wanafunzi na baadhi ya walimu tuka mwachia ukumbi? Kweli usilolijua ni usiku wa giza hivi huyu mnaweza kumwita jembe? Waliokuwepo Tanga Tech 1995 wanafahamu nini namaanisha
Hapana ndg yangu huyu ni mndogo mtu, aliyekuwa mbunge wa Tanga ni Harith Bakari Mwapachu na huyu ni Juma Volter Mwapachu, lakini ni ndugu mkubwa kwa ndogo, huyu ni ndogo mtu!!!!!!!!!
 
Hii ni moja ya njia ya hizi MNC kufanya kazi zake 'smoothly' kwa kuwa na influential people onboard,binafsi naona ni njia mojawapo ya kula bila ya kuulizwa na mtu..

Mkuu huyu Mzee ni mtu makini sana katika utendaji wake, ABG watakuwa wamepewa masharti magumu sana ili achukue position hii.
 
hawa jamaa wana vitengo maalumu vya kujua ni jinsi gani ya kudeal na watu unaotaka kuwekeza kwao. Starategies za kuwekeza Ghana, Kenya au Uganda ni tofauti kabisa na jinsi ya kuwekeza TZ, hata mikataba wanatumia staili hizo hizo.
Kwa nchi corrupt kama ya kwetu wanatafuta influential figures kufikia malengo yao, mfano unakumbuka spika wa zamani wa Bunge na ukuu wa board ya voda!
Sipendi kusema kuwa "MUNGU tunusuru na rushwa hii" maana hata Mungu mwenyewe anasema anasaidia wale wanaojisaidia!
Wamemuweka kwa ajili ya Kazi moja tu, Kupeleka RUSHWA kwa Magamba na Serikali yake sio kimaslai ya Watanzania bali ya Barrick Wauaji wa Watanzania na Mijambazi ya Rasilimali zetu. Siku zenu Zinahisabika Barrick
 
Hakutetea Watanzania wakati yupo Serikalini aje atetea Kwenye Kampuni inayotuibia Rasilimali zetu?

Mkuu vitu kama huvijui bora ukae kimya, waulize watu waliokuwa chini yake pale coopers & lybrand now PricewaterhouseCoopers as a managing director, au watu waliofanya nae kazi akiwa foreign office, au PSRC au ubalozi wa ufaransa, EAC nk.
 
Usipate taabu katika hili, pale EAC ametengeneza programu nyingi sana zakuwalinda watu wa hali ya chini, na maslahi ya EAC yalikuwa mbele.

..fafanua! watu wa chini waajiriwa wa EAC au watu wa chini gn? bt l talked to one of the Tz professors akasema this oldman was nt decisive, mfano mmoja ni pale aliposhauriwa juu ya EPA negotiations, ie EAC should negotiate as a block na contents akapewa, bt failed to defend the deal! SADC took the lead ss tunafuata tu! while as a country we can gain much when negotiate withn EAC than SADC...msisifu watu kwa basis za personal gains!
 
wewe tuandikie hayo aliyofanikiwa kule utuletee hapa. mimi nimeeenda huko sijakuta kitu
Ndg yangu fungua projects and programs EAC Strategic planning kwenye web, mipango mingi tuu imefanyika kipindi chake Arusha Namanga Nairobi road imefanyika kipindi chake, new EAC HQ Offices Ausha under this mans period. Mambo mengi kama ya power muster plan for EAC, EDUCATION PLAN, EAC RAILWAYS NET WORK PLAN, yako mengi just to mantion a few. Presentation zake kwenye gatherrings mbalimbali ni za kiprofesional zaidi, simpigii debe coz hagombei urais but nyonge nyongeni haki yake mpeni!!!!!!!!!!
 
Hongera mzee, tunataka kuona utakavyo tetea maslahi yetu katika madini.
 
Hapana ndg yangu huyu ni mndogo mtu, aliyekuwa mbunge wa Tanga ni Harith Bakari Mwapachu na huyu ni Juma Volter Mwapachu, lakini ni ndugu mkubwa kwa ndogo, huyu ni ndogo mtu!!!!!!!!!

Thanks kwa kunielimisha maana nilishapandwa na hasira H. Mwapachu alitutenda sana wizara ya afya
 
Mkuu unataka kuchafua hali ya hewa au nini mkuu, huyu mzee hajateuliwa na rais, the dude is super bright and very professional
very professional wapi bwana! hawa si ndo wale wazungu weusi waliowekeza huko tukienda tunapingwa risasi eti tumekuja kuiba!
 
..fafanua! watu wa chini waajiriwa wa EAC au watu wa chini gn? bt l talked to one of the Tz professors akasema this oldman was nt decisive, mfano mmoja ni pale aliposhauriwa juu ya EPA negotiations, ie EAC should negotiate as a block na contents akapewa, bt failed to defend the deal! SADC took the lead ss tunafuata tu! while as a country we can gain much when negotiate withn EAC than SADC...msisifu watu kwa basis za personal gains!

Mkuu hii inategemea na wewe unaamini nini by the way Tanzania iko EAC na SADC as well.
 
Back
Top Bottom