Mzee Juma Mwapachu aula

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
African Barrick Gold plc (ABG) has appointed Juma Mwapachu as one of its non-executive directors with effect from last Thursday.

Hongera Mzee wetu, you did a great job as secretary general of EAC, linda raslimali za Tanzania na Africa kwa nguvu zote, maslahi ya mnyonge kwanza.
 
How poor people will benefit from his an appointment? walelale tu EA amefanya nini chakuonekana?
 
Mkuu unataka kuchafua hali ya hewa au nini mkuu, huyu mzee hajateuliwa na rais, the dude is super bright and very professional

Sijui nani kachafua hali ya hewa hapa................Now which is which mzee au dude?

A dude is an individual, typically male, particularly somebody well dressed or who has never lived outside a big city. The female equivalent, which is used less often, is "dudette" or "dudess". However, "dude" has evolved to become more unisex to encompass all genders, and this was true even in the 1950s.The word dude is an American English slang term generally used informally to address or refer to somebody and was once used primarily by adults but this has become a common slang term used in various age groups.
 
Ndio wanaowaleta na kuwasimamia wapate uwekezaji huu. Namkumbuka Balozi Ami Mpungwe na makampuni ya makaburu hapa nchini kuanzia DSTV hadi NBC kote huko ni mkurugenzi.
 
Tumeshazoe bwana! Aliyeshiba hamjui mwenye njaa hii ndio kasumba ya viongozi wetu! Hongera ni kwake na familia yake bwana.
 
Huu ni mtego kwake tuone kama ataweza kutetea maslahi ya nchi katika madini....
 
Hii ni moja ya njia ya hizi MNC kufanya kazi zake 'smoothly' kwa kuwa na influential people onboard,binafsi naona ni njia mojawapo ya kula bila ya kuulizwa na mtu..
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wamemuweka kwa ajili ya Kazi moja tu, Kupeleka RUSHWA kwa Magamba na Serikali yake sio kimaslai ya Watanzania bali ya Barrick Wauaji wa Watanzania na Mijambazi ya Rasilimali zetu. Siku zenu Zinahisabika Barrick
 
Sijui nani kachafua hali ya hewa hapa................Now which is which mzee au dude?

A dude is an individual, typically male, particularly somebody well dressed or who has never lived outside a big city. The female equivalent, which is used less often, is "dudette" or "dudess". However, "dude" has evolved to become more unisex to encompass all genders, and this was true even in the 1950s.The word dude is an American English slang term generally used informally to address or refer to somebody and was once used primarily by adults but this has become a common slang term used in various age groups.

aka. SHAROBARO
 
How poor people will benefit from his an appointment? walelale tu EA amefanya nini chakuonekana?
Ndg yangu kama hujui kitu nyamaza, huyo Bwn alikuwa jembe hapa EAC ebu fungua web yetu eac.int check programs zilizofanyika under his tenue. Huyo ni kifaa wote tunamwombea huko alikokwenda abarikiwe zaidi, ametetea sana wanyonge huyo mtu wa watu!!!!!!!
 
Hakutetea Watanzania wakati yupo Serikalini aje atetea Kwenye Kampuni inayotuibia Rasilimali zetu?
 
Wamemuweka kwa ajili ya Kazi moja tu, Kupeleka RUSHWA kwa Magamba na Serikali yake sio kimaslai ya Watanzania bali ya Barrick Wauaji wa Watanzania na Mijambazi ya Rasilimali zetu. Siku zenu Zinahisabika Barrick
Huo ni umbea sasa mtu wa watu wala si wa kihivyo,this guy is very much hard working nadhani kuna impact itaonekana kwa yeye kuwepo pale. Hawa watu wanahitaji mabadiliko thats why wanatafuta mtu mwenye fore sight ya Kitanzania kuleta the expected changes, vinginevyo they will be in big problem with the new system to come. Plan and ojectives for the future of the insistitution, other wise you collapse.
 
Hakutetea Watanzania wakati yupo Serikalini aje atetea Kwenye Kampuni inayotuibia Rasilimali zetu?
Sijasema wanyonge wa TZ coz hakuwa kinara wa serikali ila watu wa institution ya EAC, wengi wanamkumbuka. Check records kwenye eachq.org or eac.int , take time to perus our web and see what am saying.
 
Back
Top Bottom