Mzee Gideon Nassari anashangaza... Eti cement haiwezi kushushwa hadi 5000/-

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Nimemshangaa sana huyu Mkurugenzi wa zamani wa Twiga cement Mzee Nassari,kuwa haiwezekani kushusha bei ya Cement...
My take
Hizi ni Propaganda za CCM kutaka kujibu madai ya Rais wetu mtarajiwa Dr.Slaa... Mwaka huu HATUDANGANYIKI!!!
 
TBC 1,Huyu mtaalam wa cement wote ni vibaraka wa CCM hakuna ukweli katika hili
watanzania nawaomba mbadilike .CCM wanatupoteza na wanatukejeli sisi watanzania.
Tuwanyime kura sasa manake wamezidi kutuzodoa
 
wana maslahi yao binafsi ktk hivyo viwanda vya cement ndio maana wanasema bei haiwezi shuka,kama sababu mojawapo wanayoitoa ni gharama za usafirishaji,sasa kwanini usiboreshe hiyo sekta kushusha gharama ya hiyo cement?wapuuzi wakubwa hao,mawazo yao mgando na fikra zao ni mpauko,shenzi zao kwa kuzuia mabadiliko
 
kama nauli 2 ni elfu 8 kwenda mz kwanini cement isiuzwe elfu 5 dsm au shmu yenye kiwanda.HATUDANGANIKI na propaganda za chchiem
 
zamani kulikuwa na utaratibu wa ku-subsidies gharama za usafiri ili bei iwe sawa, pili reli ya kati ikutumika vizuri bei inaweza kupuingua, lakini ubaya wenu mnaacha vilivyo vizuri mnachukua vilivyo vibaya, kulikuwa hakuna sababu ya kuingia mkataba tata na wale wahundi kama sio wahindi wa rites infwact wamiliki wa kweli wa rites ni watanzania wenzetu sema wao ni mafisadi. hata gharama za umeme ambazo zinachangia gharama za uzalishaji zinakuzwa na ufisadi wa kutokuwepo kwa umeme wa uhakika na wa nafuu.
 
Hawa watu ni wavivu wa kufikiri ( zero creativity). Yaani badala ya kufikiri ni nini kifanywe ili wananchi wapata afueni ya maisha wenyewe wanasema haiwezekani. Sasa wanategemea hii hali mwisho wake ni nini na lini?
 
Achana naye. ni wale wale. Dr Slaa amesema hata kama gharama za uzalishaji zitaziji 5,000 yeye atahakikisha serikali inatoa ruzuku ili kunufaisha wananchi. Inahitaji kwenda shule kujua hili kweli? Hizo ni propoganda za mfa maji
 
Nimemshangaa sana huyu Mkurugenzi wa zamani wa Twiga cement Mzee Nassari,kuwa haiwezekani kushusha bei ya Cement...
My take
Hizi ni Propaganda za CCM kutaka kujibu madai ya Rais wetu mtarajiwa Dr.Slaa... Mwaka huu HATUDANGANYIKI!!!
na wewe ulisikiliza za nini wakati unajua hawana jipya?
 
jaman mwachen mzee wangu Gideon Nassari afanye kazi zake yeye si mwanasiasa ni mtaaalam mawazo yake si lazma yawafurahshe chadema. ..cuf..cccm.nccr mageuz n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom