Mzee Falijara: Walimu ni watu wadogo sana katika Nchi

Kama washauri wa JK ndio hawa Kweli tutaweza kupigana VITA na Malawi?

Kweli wazungu hawakukosea waliposema IF YOU THINK EDUCATION IS EXPENSIVE THEN TRY IGNORANCE
probably some did try and what we are seeing today are the results!
 
Phillipo..hayo ni mawazo yake tu huyo farjala wala hayahusiani na uzee wake.
So unapodharau wazee unadhani wewe huzeeki?
Wazee wetu kama kina warioba,ndesamburo,slaa unataka kusema ni WAGONJWA?
 
Last edited by a moderator:
Watu wa ccm hawajaenda shule kabisa huyu mzee hajui kua mgomo ni haki ya wafanyakazi hasa kama wanadai haki zao??
 
Na wala usimwite mzee ni jitu jinga fulani tu na ni kibaraka.wazee wanaheshima zao ije kuwa hilo bogus na sijui star tv wamelitoa wapi hilo jitu jinga kiasi hicho?
 
kwa mawazo yako mwalimu akipokea mshahara wa milioni moja ,huo mkate ataununua bei gani?
Kama serikali ikubali madai hayo na kupandisha mishahara ujue utakua unaenda sokoni na gunia la noti kununua njegere.

mchumi daraja la kwanza acha uwongo
story za mitaani

unapandisha mshahara na unathibiti mfumuko wa bei basi
 
mwl ni mtu mdogo mbona sasa kaenda kubwata kwenye luninga? kama ni mtu mdogo kwanini aumie hadi kwenda kulalamika huko star tv.

awe farijala miye kwangu huyo hata kuingia hawez ni mpuuzi tu kwenye haya maisha akafie mbele huo. bado tumegoma mwambieni.
 
Walimu sasa ndio wakati wa kuunyesha uma wa watanzania umuhimu wenu, hii nafasi muuitumie vizuri
 
kweli walimu wanadharauliwa sana tanzania mpaka kada wa chama anafikia kutamka maneno hayo
 
minjstrytellme.jpg
 
mizee hii sijui inakuwa mipunga ikizeeka..yaani na akili zake anaweza kukaa na kusema kuna serikali tanzania
 
huwa anashiriki mijadala kwenye luninga,especially star tv. Mara kadhaa anatoaga maoni as if ni amri,wtf..! Who is this morony? Leo anafoka '" ooh naipongeza serikal ya awamu ya nne,kwanza walimu ni watu wadogo sana...namwambia igp mwema kamata wote weka ndani,pia hao watoto wanaoandamana kamata weka ndani..rais si wakuchezewa..bla bla...
nilimsikia ........mzee mngese sana yule
 
Mjinga mwingine akionyesha ujinga wake.

Mjinga kama huyo atakua watoto wake hakuwapeleka shule,sasa atajulia wapi umuhimu wa walimu na elimu? Wenye makosa ni Startv kushirikisha ktk mijadala muhimu mtu mjinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom