Duh, nimekumbuka kile kipindi chake "nipe habari", kila Jumapili saa 8:15 mch na ule wimbo wake wa kufungia kipindi; KWAHERINI NDUGU, KWAHERINI NYOTE, MUNGU AKIPENDA: TUTAONANA TENA, MUNGU AKIPENDA, TUTAONANA TENA JAMANI, MUNGU AKIPENDA; TUTAONANA TENA...
Mungu amevuna kilicho chake.
RIP Mzee
nilitegemea katika kuhazimisha miaka hamsini ya utanganyika tungesikia kitu kutoka kwake. Lakini haikuwa hivyo!
Mungu amsamehe kwa mapungufu aliyonayo na amlaze salama.
Rip d wakati
wale walio soma minaki au pugu moja kati ya shule hizi sikumbuki vizuri ni siku nyingi alishawahi kuzungumzia alisoma moja ya shule hizo wamempoteza mzee wao.