Mzee David Mosha wa INTERCONSULT afariki kwa ajali

Mkuu Nyambala nakubaliana na wewe kuwa marehemu ni role models tuliotakiwa kuwa nao katika jamii na kuwa the guy achieved the best thru hard working, uadilifu na commitment na ni mmoja kati ya watanzania wachache ambao you can tell bila kigugumizi namna walivyo-accumulate wealth na hakuna ubishi kuwa Interconsult is one of the best performing construction company inayomilikiwa na wazalendo.
Ila pia not all that gliters is gold!. Pamoja na mazuri yote, that is the side most people knows. Matajiri wetu wengi pia wana the other side of the same coin. They have the good side as well as the bad and the ugly. Now the man has died, lets concetrate on the good only and bury the bad and the ugly.

RIP David Mosha, your good legacy will live on and the bad be burried forever!.
pasco una uhakika??

unakumbuka ile thread na kisa cha mbwa??
umesoma issue ya nyumba??
unajua kila kitu au ndio ile tabia yako ya kusifia kila mwenye nacho???

let me tell you some, the guy is unique and successful..............

ila una tabia ya kusifia wenye nacho mara nyingi sana (if not all the time) na tunajua, angekua maskini ungekua unaplay dead

window shopper katika uandishi inatisha kidogo

quite strange and unethical, if your peers dont know
 
RIP. Ni matajiri wachache wa kitanzania waliokuwa low profile!
Ila kuna somo hapa. For a man of his caliber, bado anadrive mpk Moshi toka Dar?
 
pasco una uhakika??

unakumbuka ile thread na kisa cha mbwa??
umesoma issue ya nyumba??
unajua kila kitu au ndio ile tabia yako ya kusifia kila mwenye nacho???

let me tell you some, the guy is unique and successful..............

ila una tabia ya kusifia wenye nacho mara nyingi sana (if not all the time) na tunajua, angekua maskini ungekua unaplay dead

window shopper katika uandishi inatisha kidogo

quite strange and unethical, if your peers dont know
MTM, sina tabia ya kusifia wenye nacho ila deep down my heart ninapenda haki itendeke.

Hao wenye nacho sio kuwa huwa nawasifia bali nawatetea pale wanapojengewa chuki kwa sababu ya walicho nacho.

Tuna watu humu ni hate preachers!.

The truth kuhusu mimi ni masikini wa kutupwa ila umasikini wangu ni wa kujitakia for the love ya kufanya ninachokifanya for the love of it na hivyo kuturn down well paying decent jobs na kuendelea kusota mavumbini!. So I'm not playing dead, I was almost dead lucky to be alive! and by now I'm half dead saves for my brain and partly mu body!.

Hayo niliyosema kuhusu marehemu ni truth 100% sure ila ni ubinaadamu mtu akishatangulia mbele ya haki husifiwa kwa mazuri yake tuu. Hayo mabaya nimeyaweka kama angalizo la malipo ya 'karma' hapa hapa duniani kwa yale uliyoyafanya!.

Mimi ni beliver wa 'karma' na sio mkamilifu, hivyo kuna malipo mengi nimelipa na ninaendelea kulipa ila hili la kuniita window shopper na unethical katika uandishi, unakua hunitendei haki simply kwa kuusema ukweli wangu dhidi ya heroes mnaotaka kuwageuza malaika.

We all human, no one is perfect.

RIP Mosha.

Pasco.
 
RIP. Ni matajiri wachache wa kitanzania waliokuwa low profile!
Ila kuna somo hapa. For a man of his caliber, bado anadrive mpk Moshi toka Dar?

Ninavyojua mimi huyu mzee ana mashamba makubwa ya katani maeneo ya huko korogwe, hivyo ni kawaida kudrive ili atembelee mashamba yake

RIP Mosha
 
Huyu ni mzawa aliyethubutu na akaweza kutumia fani yake kuleta marndeleo ya nchi hii.Ni Mzawa aliyekuwa na usongo wa kuona nchi hii inaondokana na ufisadi katika fani zote za kihandisi. Taifa limempoteza mwekezaji wa kweli,Mhandisi mwandamizi na mtaalam wa hali ya juu.RIP Mosha.Watanzania hususani wahandisi tuliopita mikononi mwako tunabubujikwa na majonzi saana.
 
Nalikujua kabla hujatoka tumboni mwa mama yako. Kila mtu ana siku yake, ikifika hakuna kuuliza, unaondoka tu. RIP mzee DAVID.
 
RIP DAVID - Hivi ndo huyu wa NICOL na pia Inter-consult walikuwa ni shareholder katika KADCO and mzee was the board member. Kwenye business forum hapa Tanzania lazima uwataje kina

1. David Mosha
2. Arnold Kilew
3. Elvis Musiba
4
5
6
7
8
9
10
 
May The Almighty GOD rest your Soul in Eternal Peace Mosha and give strength your family for you will be missed.
 
RIP mzee mosha,aisee niombeni link ya hiyo thread ya mwanae na kisa cha mbwa..
 
RIP. Ni matajiri wachache wa kitanzania waliokuwa low profile!
Ila kuna somo hapa. For a man of his caliber, bado anadrive mpk Moshi toka Dar?

he wanted to enjoy his trip he wasnt in a hurry and wished to enjoy Gods creation and nature,and also when your day is due you can do anything difèrent from ur routine,
 
RIP MR MOSHA,POLE ZA DHATI ZIWAENDEE FAMILIA YOTE HASA RAFIKI YANGU MPENDWA BINTI YAKO ALIEKUWA KIPENZI CHAKO JACKLIN DAVID MOSHA ,RIP MR MOSHa
 
Back
Top Bottom