Mzee brazameni si muchezo

Mzee Abby Sykes!Baba yake na Dully Sykes.Anaishi katika kile anachokiamini na kinachomfurahisha,kwa hilo namvulia kofia.Ana sauti nzuri na ni mpigaji gitaa....
 
Mzee Abby Sykes!Baba yake na Dully Sykes.Anaishi katika kile anachokiamini na kinachomfurahisha,kwa hilo namvulia kofia.Ana sauti nzuri na ni mpigaji gitaa....

Kumbe ulishawapa jibu, samahani nilikuwa sijakusoma.

Dah, huyu mtu ananikumbusha enzi zetu, alikuwa Tall, Slim, Dark and Handsome. Tumetoka mbali.
 
Siku moja nilimtembelea Abby Sykes, katika yake kazi ya ulinzi kule kinondoni, mara kidogo sindo akapita Nyambizi, .......... Baba akatupisha ili tufanya yetu mambo ...... Huo ni wimbo unaitwa Nyambizi ambao Dully Sykes amemtaja baba yake ktk mambo yakipuuzi kabisa, inawezekana wakati mwingine mtoto akambadili baba lakini hapa wote wale wale kwa maana hata mashairi ya Nyambizi hayaoneshi heshima kwa Baba ake ingawa mtu wa kawaida tu haya mashairi huwezi kuyasikiliza mbele za watu.
 
Huyu mzee siku moja anahojiwa akasema yule dogo atakuwa anagongwa akimaanisha mwanaye
 
Babake Duly mzee akula Bange kama kesho hatavuta tena! Ingekuwa watoto wanachagua mzazi unamkataa kabisa mzee anavioja yeye pikipiki!
 
Back
Top Bottom