Mzee afariki kwa kumwagiwa upupu

Confirmed.
Nimeongea na mmoja wa viongozi wao. amethibitisha kwamba mwenzao mmoja ameuliwa kutokana na fujo walizofanyiwa na polisi jana.
Amesema kwamba wao wanajihesabia kama ni maiti tayari maana muda wao wa maisha upo at stake. lakini wanasisitiza kwamba WATANZANI wawaelewe kwamba hawana nia wala uwezo wa kufanya vurugu bali wanataabika kwa kucheleweshewa haki yao.

MY TAKE

............................................
 
kwani raia ni hao tu waliokuwa wanafanya fujo nje ya mahakama kuu na kutishia amani wafanya kazi wa mahakama, kuzuia shughuli za kiuchumi za raia wema, kufunga barabara, kuendelea kuchafua mazingira.
kwa hiyo adhabu yao ni kifo????
hongera kwa ujuha
 
Confirmed.
Nimeongea na mmoja wa viongozi wao. amethibitisha kwamba mwenzao mmoja ameuliwa kutokana na fujo walizofanyiwa na polisi jana.
Amesema kwamba wao wanajihesabia kama ni maiti tayari maana muda wao wa maisha upo at stake. lakini wanasisitiza kwamba WATANZANI wawaelewe kwamba hawana nia wala uwezo wa kufanya vurugu bali wanataabika kwa kucheleweshewa haki yao.

MY TAKE
............................................

hivi kulikuwa na haja gani kuwamwagia upupu hao madingi.....hivi watu hawana aibu na huruma siku hizi eeh.....sikatai walileta usumbufu ndio lakini katika njia zote za kuwaondoa ni hiyo ndio ilipatikana.....
 
Preta. polisi ya bongo inachukia uhalifu hata mdogo kiasi kwamba hawawezi kugusana na mhalifu labda maiti yake. hawajifunzi kwa wenzao nchi zilizoendelea kuwa unadeal na wahalifu au maandamano kisaikolojia zaidi ya nguvu.

Haya wameua raia asiye na hatia labda kwa kudai haki yake ndo amehesabiwa hatia. Najua huko waliko wanapongezana na vyeo wataongezeana.
 
sijui lini sisi kama watanzania tutaepukana na adha hizi....inatia aibu
 
Wewe na mimi tuna jukumu la kupenyeza elimu ya uraia na kujitambua kwa wananchi ili kuokoa kizazi cha kesho wasiwe kama sisi leo. Tuondoe woga, na unafiki tutafikia kukataa hii balaa ya leo. Viongozi wetu wanatufanya kama ndimu za kuchumwa na kuuzwa sokoni.

Poor mzee aliyeuawa akiwa anadai haki yake HALALI

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom