Mzee adhibiti uzizi wa mkewe kwa mbinu ya kutisha!

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
Mzee mmoja alipata fununu kuwa mke wake mbabe anazini na jamaa mmoja hapo kijijini kwao.
Basi akamua kufanya mtego wa kisafari. Alimuanga mkewe asubuhi na mapema kwamba
anakwenda safari kijiji cha jirani ambako atalalala huko. Alipoanza safari yake, mzee aliweka
kituo kwenye mti mkubwa jirani na kwake; alipanda juu na kuangalia kinachoendelea nyumbani
kwake kwa muda hivi. Mkewe kuona kimya cha masaa mawili hivi, alimwita jamaa wake ili aje
wafanye vitu ndani ya nyumba yake. Jamaa alikwenda na kuingia ndani huku mzee wa watu
akishuhudia juu ya mti. Kwa kweli mzee ni jasiri kwani alivumilia tu mpaka jioni alipoamua
kuendelea na safari yake.
Kesho yake aliporudi nyumbani kwake, Mzee wa watu hakuwa na papara. Usiku ulipofika,
mkewe alikuwa tayari kumpa mambo kwa moyo ule wa kudaganyia, chukua yote hii ni yako tu pekee yako.
Mzee alipopanda juu, akataka kujaza upepo, akaonyesha hali ya wasi wasi kisha akatega sikio kwenye mali ya mkewe.
Akajaribu tena kupampu upepo akasita na kutenga tena sikio kwenye mali. Huku akiguna akanza kumuuliza mkewe:

Mzee: Nani anachezea hii mali yangu? Nasikia kitu fulani kinanielekeza. Tafadahri niambie

Mkewe kwa kuhofia labda jamaa amefanya mambo fulani, si unajua kijijini, mama wa watu akasema

Mkewe:Ni Jamaaa? Naomba unisamehe mume wangu sitarudia tena.

Mzee: Nimekusamehe. Ila ukirudia yatakayokukuta utajua mwenyewe.

Mwanamke hajazini tena.
 
Back
Top Bottom