mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
Natumaini mu wazima humu
Ushauri wako ni muhimu bila kuweka tusi maana utaniongezea uchungu bure kama huna ushauri ningeomba ukae kimia tuu.
Mimi kwa sasa nina mke huyu tulikaa muda sana bila kufanikiwa kupata mtoto kweli tulikosa raha sana mgogoro ukawa hauishi mwaka wa tatu uzalendo ukanishinda maana ilifika mahali akawa ananiambia mimi nitakua sina mbegu.
Niliumia nikaamua kuchepuka nikapata binti mmoja wa mbali kiukweli huyu binti nilimwambia ukweli na mke but alinipenda sana penzi lilikolea sana alinipa mapenzi matam sana alipokosea ni siku moja tuu akanipa penzi kinyume na maumbile apo nilichanganyikiwa zaidi shetani kwa kweli akanipitia but nashukuru nilikua mjanja sana sikuonyesha kumdharau mke nilikua narudi likizo na sikutaka kumwonyesha chochote niliporudi kule ikawa ni full kujiachia kweli kitanda hakizai haramu binti akabeba mimba nilimhudumia sana akili zikaja nimwoe au ila nilichukulia kumwoa mwanamke nishafanya nae kitendo kile cha kiovu heshima itakua hamna alijifungua mtoto yaani hata DNA haina haja tulivyofanana
Hapo nikapata uhakika mimi sina tatizo sasa siku moja wife aliniuzi nikaamua kumpasukia ukweli yaani aliumia alilia sana ilitokea ugomvi kwenye kumpiga nikamtengua mguu cha kushangaza alikua mvumilivu akanisamehe na kunipenda ajabu nafsi ikanisuta kweli kule mtoto nikawa nahudumia kweli kweli
tuliendelea mwaka wa tano ukakatika bado hashiki mimba ila moyo ukawa unanisuta matusi bado anavumilia tuu nilikua naumia nikiona ameingia blid balaa yaani apo ni matusi balaa kiukwel nyumba bila mtoto mhhh...
Ndugu zangu walinishauri niliezaa nae nimwoe tuu na maandalizi yakawa yanaendelea kichini chini sasa inakuja huyu mke kabeba mimba sasa na yule niliezaa nae anakuja juu kwenye cm kila saa nikiwa home anapiga na kwenye social netwok ndiyo balaa full mipicha yangu na mtoto na kumtus wife .
Sasa nipo dailema nifanyeje maana ata sijielewi elewi wife baada ya 6 years kabeba mimba na huyu niliezaa nae amekuja juu balaa .matusi sitaki plzzz kama huna ushauri usichangie chochote.