mzazi jaribu hii tricky

ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,373
851
Dem flani alipigiwa simu na namba geni mambo
yakawa hivi NAMBA NGENI:"Haloo! Mrembo una boyfriend?" GIRL:"Yap ninae kwani we ni nani?" NAMBA NGENI:"Mi ni baba yako kumbe una
boyfriend eeehh! Nikirudi utaeleza vizuri *Baada ya dakika tano namba nyingine geni
ikampigia*
NAMBANGENI:"Haloo mambo....una boyfriend" GIRL:"Sina kwani ni nani?"
NAMBAGENI:"Haaa ni mimi boyfriend
wako.....ina maana umenisaliti enh?" GIRL:"No no no baby sorry nilidhani ni baba
yangu ndo maana nikasema hivyo NAMBA NGENI:"Ni mimi baba yako nilitaka
kuhakikisha,kumbe ni kweli!! Utakoma nikirudi..!
 
ha ha ha ha, naenda kuijaribu.

Afu mie siku hizi vijana wakianza kuniamkia kwa adabu saaaana bila sababu za msingi naenda kumtandika binti yangu.

Lazima ni viboyifurendi
 
dah hiyo trick ya ukweli lakini je yafaa kwa watoto wa kiume pia kwa mama zao?

Gee Cee[

QUOTE=ney kush;3902893]Dem flani alipigiwa simu na namba geni mambo
yakawa hivi NAMBA NGENI:"Haloo! Mrembo una boyfriend?" GIRL:"Yap ninae kwani we ni nani?" NAMBA NGENI:"Mi ni baba yako kumbe una
boyfriend eeehh! Nikirudi utaeleza vizuri *Baada ya dakika tano namba nyingine geni
ikampigia*
NAMBANGENI:"Haloo mambo....una boyfriend" GIRL:"Sina kwani ni nani?"
NAMBAGENI:"Haaa ni mimi boyfriend
wako.....ina maana umenisaliti enh?" GIRL:"No no no baby sorry nilidhani ni baba
yangu ndo maana nikasema hivyo NAMBA NGENI:"Ni mimi baba yako nilitaka
kuhakikisha,kumbe ni kweli!! Utakoma nikirudi..![/QUOTE]
 
ha ha ha ha, naenda kuijaribu.

Afu mie siku hizi vijana wakianza kuniamkia kwa adabu saaaana bila sababu za msingi naenda kumtandika binti yangu.

Lazima ni viboyifurendi

Konnie ntakumiss,wajua ntapotea kwa muda kidogo bt nway.. huko mafichoni will try kulog siku za kukutana kwa jiji la Meck Sadik zinakaribia...

Gee Cee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom