kwamwewe
JF-Expert Member
- Jul 15, 2010
- 1,801
- 541
nataka kujua kuwa mzawa wa zanzibar ni nani na asili yake ..kwani hawa wenye uzawa wa kiarabu ni wakuja tu ...sasa je ni nani ni mzawa wa zanzibar?
watajijuwa wenyewe wazanzibari , pilipili usioila yakuwashia nini??? Nenda kamtafute mtanganyika kwanza usiyaingilie mambo ya nchi ya watu wakati yako hujayaweza, dont waste your time please !!!
It a pity that tanganyika is so big and your mind all the time is dreaming about small islands with less than 1 and half million people !!!!!
POOR tanganyikans , POOR i pad 3