Mzawa ni nani?

Mtwike

Senior Member
Jul 10, 2008
116
6
Ni zipi sifa za mtu kuitwa Mzawa? Jee akichanganya kabila upande mmoja wa wazazi au akajikubalisha na mila ya watu anakuwa Mzawa?
 
Hivi Amir jamal, Bryson, Salim A.Salim ni wazawa? si kosa la Nyerere kuwatanguliza?
 
Back
Top Bottom