Mzalendo hujulikana kwa matendo.

Chepii

Senior Member
Mar 7, 2011
101
14
Ndugu zangu wana JF mhaligani?
Nime vutiwa nanyi nikajiunga nanyi,naombeni mnipokee.
 
Jamani Katavi mimi huwa unanibariki sana unavokaribisha wageni, nimeenda nimerudi nimekukuta na moyo huohuo... so lovely!!!
Waooo!!! Asante sana, huwa sijisikii vizuri kuwa jf bila kupita katika jukwaa hili!
 
@all Jamani nawashukuruni sana kwa mapokezi yenu mazuri,yaani najisikia nipo Home,Nawapongezeni kwa michango yenu ktk kulijenga taifa letu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom