Mzabe Kofi Akirudia!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kama hataki kujirekebisha na wewe unadhurika kwa makosa atendayo, akirudia MZABE KOFI!!
 
wengine wana miguvu ukimpiga kofi, atakupiga kichwa kisha anakukata mitama miwili ya ghafula, lazima ukate network
 
mmmh...wajameni kuna vilaza humu...mafumbo sio fresh ohooo!..
 
ukiona mtu haeleweki,
wewe ondoka mdogo mdogo,
tena jaza maji mdomoni ili usiseme neno hata moja.
 
Ngoja kunamchizi ananizingua sana tukiingia Lecture, ntampa MBATA moja la Shingoni,..
 
Back
Top Bottom