my x - is pregnant and she needs my help..

Hawachelewi kusema aliyenisaidia ndio mwenye mzigo we jichanganye uone maneno yatakavyosambaa

tukiwa tunahofia mambo kama hayo binadamu tutakuwa hatusaidiani. Kuna watu hata kusaidia omba omba barabarani hudai wanaogopa hela zao zitayeyuka...
Amsaidie tu, yakitokea hayo watafanya vipimo.
 
sidhan kama kuna sababu ya kuomba ushauri kwa jambo la kibinadamu ...
 
Juzi tu mzee mmoja kaja kwenye kabiashara kangu anaomba chenchi kumbe chuma ulete jioni hasara 70000 kumbe mzee kazoe sasa tunamwinda.Huyu jamaa nilikuwa na mpaka upande mwingine wa shilingi akae akajua
tukiwa tunahofia mambo kama hayo binadamu tutakuwa hatusaidiani. Kuna watu hata kusaidia omba omba barabarani hudai wanaogopa hela zao zitayeyuka...
Amsaidie tu, yakitokea hayo watafanya vipimo.
 
Juzi tu mzee mmoja kaja kwenye kabiashara kangu anaomba chenchi kumbe chuma ulete jioni hasara 70000 kumbe mzee kazoe sasa tunamwinda.Huyu jamaa nilikuwa na mpaka upande mwingine wa shilingi akae akajua

mmmh! Hata kama ni kweli imetokea, ina maana huo utakuwa mwisho wa kumsaidia mtu?
 
My X - ni mjamzito wa jamaa alieukataa..lakini anahitaji msaada wangu..nimpatie pesa ya kwenda hospitali anaumwa sana..nifanye nini wadau..roho inanisuta kumkaushia..

Msaidie tu mkuu mtoto akikua wewe utapewa kipau mbele cha kuzibua masikio ya mtoto
 
Hivi wanaume wanaokataa mimba bado wapo?dunia hii vijana wanaokufa kwa bidii hivi?
You just help her ikibidi mpeleke kabisa ili kama anania ya kutoa usijetupiwa lawama..kwa kumpa hela

Ukiwa unatupanga kumi kama foleni ya ATM unafikiri mimba itakubalika kirahisi?
 
Tunakuwa wepesi sana kuwalaumu mabinti hasa wanapozaa watoto na kuwatupa kumbe tunasahau kuwa chanzo ni sisi wanaume,mara nyingi tunashuhudia kuokota vichanga vichakani tena tunalaani kwa nguvu zote unyama wa ainahiyo.sijambo jema hata kidogo kukataa ujauzito maana tunafahamu fika kuwa baada ya tendo kifuatacho ni ujauzito.inakera sana tubadirike vijana wenzangu
 
M2 yeyote akikuomba kama upo ktk nafasi ya kusaidia pls do tena jambo lenyewe likiwa jema( sio la kutenda dhambi). Umefanya vyema brother.
 
Hivi wanaume wanaokataa mimba bado wapo?dunia hii vijana wanaokufa kwa bidii hivi?
You just help her ikibidi mpeleke kabisa ili kama anania ya kutoa usijetupiwa lawama..kwa kumpa hela

Kweli asee, usimpe hela maana anaweza toa, mpeleke kabisa hospital.
I don't know why people rejects their pregnancy..:A S angry:
 
Wewe Swts wanaume wa kukataa mimba wataisha dunia ikiisha...lol

Wanakataa majukumu hao, mtoto akisha kuwa mkubwa na kazi yake nzuri au umaarufu basi yeye ndiyo wa kwanza kujisifu 'huyu kijana wangu hodari'.

Natamani ningechapa viboko wote wanaokataa watoto wao wakiwa wadogo.
 
sometimes ni ngumu kukubali especially kwa wanawake wa siku hz.unakuta mmepangwa kama foleni ya benki mpaka ye mwenyewe she s not sure mimba ni ya nani
 
Dr Chichi siku hizi maisha yamerahisishwa sana. Wakipima DNA baba ataeleweka tu.

Si unakumbuka Mzee Mahita alipopinga DNA ikamuumbua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom