My wife wake

Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
56
Mlio Tz naona hili neno mnalitumia sana.
Nimeliona mara lukuki kwenye blog moja.

Ninavyojua My= belong to me

Iweje hili neno sasa linatambulishwa kwenye jamii? Utasaikia mtu akisema Jamaa fulani na my wife wake?
 
Habari ndo hiyo!

Ndo ujue jamii imelikubali sawia neno hilo, na lugha inakua, inatoholewa na kuongezeka kila kukicha, kwahiyo usiogope ndugu Darwin...
 
Mlio Tz naona hili neno mnalitumia sana.
Nimeliona mara lukuki kwenye blog moja.

Ninavyojua My= belong to me

Iweje hili neno sasa linatambulishwa kwenye jamii? Utasaikia mtu akisema Jamaa fulani na my wife wake?

Mkuu ushasema hiyo ni kwenye blog kila sehemu kuna lugha yake, hujawahi sikia wewe kwenye mgahawa wanasema chai mbili, mbona hauhoji iwaji iwapo chai inahesabika?
 
Mlio Tz naona hili neno mnalitumia sana.
Nimeliona mara lukuki kwenye blog moja.

Ninavyojua My= belong to me

Iweje hili neno sasa linatambulishwa kwenye jamii? Utasaikia mtu akisema Jamaa fulani na my wife wake?

Darwin, ungeanza na huyo mwenye blog kwanza.!
Je wewe ni mwalimu wa lugha (kiswahili) au mzee kifimbo cheza?
 
Si useme tu umeiona kwa that clown Michuzi?

Ukishindana na clown wewe utaonekana clown zaidi, mwenzako analipwa kwa u clown wake, wewe unatafuta nini?
 
Darwin, ungeanza na huyo mwenye blog kwanza.!
Je wewe ni mwalimu wa lugha (kiswahili) au mzee kifimbo cheza?

Sitaki kutaja jina la blog kwani nikifanya nakua natangaza jina lake kwenye JF

Site nyingine zina sheria hazitaki kutangaza biashara ya mtu mwengine kwenye site zao, au labda pengine ulipie
 
My wife wake, Uwanja wa ndege eapoti, barabara ya pugu road, bustani ya mnazimoja garden, etc.Ingawa it doesn't make sense lakini hii lugha anaitumia mdau wa nanihii na libeneke ili kuongeza ladha ya globu yake, hii ni katika kufurahisha audience na wadau wana-relieve some stress.
We shouldn't try to be kill-joys, saa nyengine wabeba maboksi wanahitaji viburudisho. hata baadhi ya bloggers wa kizungu wana terms zao wanazotumia ambazo ni twisted words of English. the blog world are full of bloggerish words.
Huyu mkuu wa libeneke kwenye twitter 'anatwiti in propa inglishi ' ingawa sio richaboo!:)
 
Huyu mkuu wa libeneke kwenye twitter 'anatwiti in propa inglishi ' ingawa sio richaboo!:)

Nilikuwa sijui kama swahiba anatwiti ngoja nianze kumfuata though kuna wakati huwa anavijimambo vya kuboa.
 
Back
Top Bottom