My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

uamuzi unao mwenyewe mpendwa maana kila kitu kiko wazi hapo,nilidhanio wewe ndo wa kwanza kumbe wako wanaochakachua hapohapo na hajaridhika nao,hicho ni zaidi ya kicheche:rain:
Hakuna maneno nitachukua maamuzi ya busara
 
Hiyo overconfidence yako ndiyo itakumaliza rafiki.

Jee condom ikipasuka au ikichomoka wakati wa hiyo shughuli utasema nini? Na kama anajijua yuko kwenye mtandao anaweza kukufanyia mission ya makusudi na wewe ukafikiria ni bahati mbaya.

Au ikiwa wanashirikiana na huyo jamaa halafu wakaja kukublackmail?

Kijana huyo Ibilisi atakuja kukuruka na kukwambia "mimi simo" wakati mambo yakishaharibika.
Bac sintomdinya asije akanipa kmeta
 
huyo jamaa alikufundisha kuiba hana maana, kama vipi muibie na mke Pia. maana ninyi wote hapo ofisini kwenu yaelekea mnaendekeza sana ufirauni.. Kupumbuana tu!
Kweli itabdi nimuibie inawezekana ndiö ananipa test mwanafunzi wake kama niko fìt au la
 
waulize rafiki zako waliomchakachua kama walishaenda ku-test HIV. Unaweza kufikiri ni namna gani ofisi yenu itapukutika iwapo huyo demu ameathirika? Acheni mambo ya uzizinzi. Isitoshe hao jamaa ni wachache tu ambao wewe unawafahamu. Kwa vyovyote kutakuwa na masela kibao tu mtaani ambao wanammega!!!
Ushauri mzuri nitawaambia jamaa wakapme
 
mchunguze rafiki yk vizuri usikute kawekewa limbwata, haiwezekani mwanamke wk end akajirushe, jamatatu apitie kazini huko huko, then eti jamaa bado anampenda tu!!
C bure itakuwa miti shamba imemchakachua tu
 
Habari zenu wanajamvi,ni hivi mimi nafanyakazi na jamaa ambaye mkewe naye anafanya kazi ktk kampuni hiyo hiyo,tatizo ni kwamba huyo mkewe mwenyewe hajatulia hata kidogo ktk watu ambao niko nao kitengo kimoja ni watu wawili tu ambao hatujamchakachua huyu shemu we2.
Ktk hao ambao wamemchakachua/wanamchakachua,rafiki yangu huyu anajua live kuwa demu wake katendwa na mshikaji,ikafikia hatua ya kuanza kutishana kuuana.lkn hao wengine wanamega kisela ni mwendo wa kimyakimya ila mie nafahamu kuwa wanamtenda maana hawanifichi.
Kuanzia Ijumaa mpaka J2 huyu demu anaenda kujirusha na kurudi nyumbani kwa J3 str8 kazini.
Binafsi nashindwa kumshauri huyu jamaa kuwa demu wake ni kicheche si mnajua tena mambo ya mapenzi na yeye kakolea ile mbaya.ila huwa najiuliza hivi huyu jamaa alimkuta huyu demu anauza ngozi au vp mbona hachukui hatua zozote?
Sasa hivi ananisumbua mie mara anikumbatie mara anishike something yangu mara anishikishe naniliyu yake yaani tukibaki wawili inakuwa ni vtuko kwa kwenda mbele binafsi namuheshimu jamaa maana nimemkuta pale kazini na pia ndiye aliyenifundisha jinsi ya kuiba hapo kiwandani
Sasa ndugu zangu mnanishauri nini,nimdinye huyu demu liwalo na liwe au niendelee kumuheshimu msela wangu?
maana naanza kuona huyu demu ataweza kufikiria kuwa something yangu haifanyi kazi
Natanguliza shukrani zangu.
Hebu tazama nilipo-highlight red. Ati! alikufundisha nini? Kumbe wote si waaminifu????
 
Kwanza nikupe hongera kwa kujitahidi kumkwepa huyo mwanamama muhuni, pili nikushauri, kaa mbali naye na uwe very very serious akikushika mwambie tabia hiyo huipendi kabisa hata akikukalia uchi we usimjali halafu mdharau live na onyesha haeshima yako ukiwa mbele yake. Na huyo ameshaukwaa sasa anataka kuondoka na wengi pengine ndio maana mume wake hamfuatilii japo anajua anayoyafanya kwa sababu katika hali ya kawaida mwanaume ni lazima awe na wivu kwa mke wake hata mwanamke kwa mumewe. Mkimbie kwa nguvu zote baadae atajua msimamo wako ataachana na wewe
Nashukuru kwa ushauri wako nasaha
 
Jiheshimu usije juta. Juzi nilihudhuria mazishi ya mke wa rafiki yangu, huyo marhemu unaambiwa alikuwa kicheche na kupenda kukumbatia watu na wakati mwingine kushika nani hii za wanaume ili wamdinye. Kwa kweli watu wengi na marafiki wa huyo mume wake walimtia sana huyo dada. Kwa bahati mbaya huyo dada alikuwa muadhirika. na mara nyingi ndugu wa huyo marehemu walimsihi sana mumewe kuachana na msichana huyo, lakini mwanaume hakukubali. Je unadhani hao waliotembea na msichana huyo ambae ni marehemu wako kwenye hali gani? Na je wewe umejifunza nini kwa huyu marehemu.
 
habari zenu wanajamvi,ni hivi mimi nafanyakazi na jamaa ambaye mkewe naye anafanya kazi ktk kampuni hiyo hiyo,tatizo ni kwamba huyo mkewe mwenyewe hajatulia hata kidogo ktk watu ambao niko nao kitengo kimoja ni watu wawili tu ambao hatujamchakachua huyu shemu we2.
Ktk hao ambao wamemchakachua/wanamchakachua,rafiki yangu huyu anajua live kuwa demu wake katendwa na mshikaji,ikafikia hatua ya kuanza kutishana kuuana.lkn hao wengine wanamega kisela ni mwendo wa kimyakimya ila mie nafahamu kuwa wanamtenda maana hawanifichi.
Kuanzia ijumaa mpaka j2 huyu demu anaenda kujirusha na kurudi nyumbani kwa j3 str8 kazini.
Binafsi nashindwa kumshauri huyu jamaa kuwa demu wake ni kicheche si mnajua tena mambo ya mapenzi na yeye kakolea ile mbaya.ila huwa najiuliza hivi huyu jamaa alimkuta huyu demu anauza ngozi au vp mbona hachukui hatua zozote?
Sasa hivi ananisumbua mie mara anikumbatie mara anishike something yangu mara anishikishe naniliyu yake yaani tukibaki wawili inakuwa ni vtuko kwa kwenda mbele binafsi namuheshimu jamaa maana nimemkuta pale kazini na pia ndiye aliyenifundisha jinsi ya kuiba hapo kiwandani
sasa ndugu zangu mnanishauri nini,nimdinye huyu demu liwalo na liwe au niendelee kumuheshimu msela wangu?
Maana naanza kuona huyu demu ataweza kufikiria kuwa something yangu haifanyi kazi
natanguliza shukrani zangu.

usithubutu kabisa kummega huyo demu wa mshikaji wako, ni mbaya sana, huyo demu ana pepo wa ngono, wala jamaa yake usimwambie mwache aone mwenyewe na aamue mwenyewe ukimwambia anaweza kumuacha halafu demu akakulaumu wewe
 
Kuanzia Ijumaa mpaka J2 huyu demu anaenda kujirusha na kurudi nyumbani kwa J3 str8 kazini.

Binafsi nashindwa kumshauri huyu jamaa kuwa demu wake ni kicheche si mnajua tena mambo ya mapenzi na yeye kakolea ile mbaya.ila huwa najiuliza hivi huyu jamaa alimkuta huyu demu anauza ngozi au vp mbona hachukui hatua zozote?
Sasa hivi ananisumbua mie mara anikumbatie mara anishike something yangu mara anishikishe naniliyu yake yaani tukibaki wawili inakuwa ni vtuko kwa kwenda mbele binafsi namuheshimu jamaa maana nimemkuta pale kazini na pia ndiye aliyenifundisha jinsi ya kuiba hapo kiwandani

Sasa ndugu zangu mnanishauri nini,nimdinye huyu demu liwalo na liwe au niendelee kumuheshimu msela wangu?
maana naanza kuona huyu demu ataweza kufikiria kuwa something yangu haifanyi kazi
Natanguliza shukrani zangu.

Mdinye na liwalo liwe - Msinyimane!
 
Jiheshimu usije juta. Juzi nilihudhuria mazishi ya mke wa rafiki yangu, huyo marhemu unaambiwa alikuwa kicheche na kupenda kukumbatia watu na wakati mwingine kushika nani hii za wanaume ili wamdinye. Kwa kweli watu wengi na marafiki wa huyo mume wake walimtia sana huyo dada. Kwa bahati mbaya huyo dada alikuwa muadhirika. na mara nyingi ndugu wa huyo marehemu walimsihi sana mumewe kuachana na msichana huyo, lakini mwanaume hakukubali. Je unadhani hao waliotembea na msichana huyo ambae ni marehemu wako kwenye hali gani? Na je wewe umejifunza nini kwa huyu marehemu.
Hadithi hii imenitia uwoga wa kumdinya huyu demu
 
katika story yako yooote mi imeniuma kwenye kufundishwa kuiba kiwandani tu......ole wako nijue unafanya kazi TANESCO maumivu yangu ya mgao wa umeme nitakumalizia wewe.
Nimeajiriwa ilì kutia wingi kwenye maandamano ya kupinga ugumu wa maisha
 
Back
Top Bottom