COMPLICATOR2011
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 253
- 35
Tangu vita ya kumng'oa Gaddafi ianze na hatimaye kumuua sijawahi kusikia mke wake akitajwa au hakuwa na mke?
Wee vipi? una hisa nae? keshapata bwana mwingine.Tangu vita ya kumng'oa Gaddafi ianze na hatimaye kumuua sijawahi kusikia mke wake akitajwa au hakuwa na mke?
Tangu vita ya kumng'oa Gaddafi ianze na hatimaye kumuua sijawahi kusikia mke wake akitajwa au hakuwa na mke?
Asante sana ndugu yangu watu wengine humu Jf si binadamu kabisa.Mkewe alitajwa na alikuwa kwenye picha; Alikuwa na wake wawili
Wa kwanza alikuwa na Mtoto Mmoja na Wa pili ndiye mke mkuu alizaa nae hao watoto wote 8
Yeye huyo Mwenye watoto 8 kakimbilia Algeria pamoja na mtoto wake wa kike, wavulana 2 na mtoto wa kiume wa mke wa kwanza; mke wa kwanza alikuwa na mtoto mmoja tu nae.
wewe ni mvuvi wa kufuatilia mambo madogo makubwa je. vyombo vya habari vimetangaza mpaka sasa nimemsikia mke wake mmoja sina hakika kama alikuwa na wake wengi