My Teacher nilikuwa simpendi now nimemzimia kinyama

[h=1]In the end we only regret chances we didnt take. The relationships we were scared to have and the decisions we waited to long to make there comes a time in your life when you realise who matters, who doesnt, who never did and who always will.[/h]

True.... Kama kweli upo siriaz nadhan hajachelewa. Mwelezeee
 
ur absolutely right
lakini mi si mapepe tatizo ninaonekana na sijampata wa ukweli nimpende anipende kwa dhati wote niliodate nao ni kimjini mjini tu
i wish my ticha anipende kwa dhati
haujatulia dadaa tena nafasi imepotea x2, ticha mpe shua aaagh ticha mpe shua
ticha mpe shua aagh
 
hapo kwenye nyekundu inaonekana uliendekeza umalaya toka ukiwa chuo na huyo mwalimu akafahamu ndio maana akakushit, sio ajabu na sasa umalaya awako mwingi anaufahamu ndio maana ameamua akufanye rafiki tu tena wa kukusimulia stori za mademu zake!

hapo kwenye zambarau sio kweli wapenzi chuo hawana malengo, mbona wengi tu wanaoana na mapenzi yao unakuta walianzia shuleni au chuo (nina mifano hai ya rafiki zangu), sema tamaa na umalaya ulikuwa uliendekeza toka ukiwa chuo!

Ndio alikuwa moto sana,
 
the boss nilichoharibu huu mwaka wa pili sasa tokea nimalize chuo huku mtaani nikawa nadate na kigogo mmoja wizara ya mambo ya nje
kuna siku niko nae mafia lounge nayeye kaingia kaniona live bila chenga
sometimes huwa najutia kuzaliwa mjini na kukulia mjini
naogopa ninaweza kujilipua na yeye akapita tu
macho mbele yeee mbele yee mbelembele notii
 
to me huyu ticha bado anampenda bi dada na usishangae he is after you simply because he feels you.

to me dont tell him ila endelea kutoka nae as good friends huku ukiumia nafsin halafu najua nature will do its job. chakufanya wewe ni kujipanga kitabia rekebisha zile unazojua zimevuka mipaka halafu usiwe mwingi wa mjini yaani yale mmbo ya leo nataka hii kesho kile not. unatakiwa uwe mtulivu hadi akushangae halafu siku umkaribishe kwako just for lunch mpikie madikodiko ya kufa mtu tenga mule as friends but while doing it potray wife hood xcters utana lazima. wanaume ukiona humpati kabisa mtafute kwenye madikodiko ya ukweli wallah lazima akolee tu.

thankx dia nitayafanya this weekend kisha nitakupm nikupe ripoti
 
haujatulia dadaa tena nafasi imepotea x2, ticha mpe shua aaagh ticha mpe shua
ticha mpe shua aagh

ha ha ahsante ila jua mjini akili shamba kijijini
sasa hapa hii ni wiki ya pili saa 8 mchana nipo nae tunakula jioni tupo wote mpaka saa 4 au tatu na hii ni ratiba ya siku 28
what do you think???
 
Back
Top Bottom