My Teacher nilikuwa simpendi now nimemzimia kinyama

Mpe huyo former Ticha wako hiyo zawadi kama Mwinyi alivyopewa zawadi mtoto wa Kitwana Kondo. I dont see nothing wrong with a little bumping and grinding. Wewe na huyo mwalimu wako mnapenda period na sio zambi kumpa whether ata stay au ata sepa. giving your heart to someone you love can never be wrong if the love is true-wewe ni mtu mzima una uhuru wa kumpa hiyo zawadi mtu yeyote. You love him - so give him that funky dopy love!
 
Inajionyesha pia wewe ni mapepe na ticha wako ameshafahamu hujatulia, so ukweli ni kwamba ticha hawezi tena kwa na wewe kama mpenzi wa muda mrefu ! labda sijui umshawishi vipi kwamba unaweza badilika ukatulia naye, inawezekana pia akala mzigo akasepa tu sababu ameshakuona hujatulia.

basi kwa bahati mbaya akaja kuwajua watu kama wawili niliodate nao kipindi nasoma mmoja tulikuwa tunaagana JKIA kwa makiss kumbe akaniona bwana kisha baada ya jamaa kukwea pipa akanicall akaniambia mpaka hapo nikajishushia marks nikaamua siwezi kuwa naye tena mwingine nikadate nae kumbe ni rafiki wa rafiki ya my ticha so habari akazipata mpaka hapo nikaona siwezi kuwa nae tena zaidi ya urafiki na mapenzi sikuwa naye ila hakukata tamaa
-----------------
--------------
----------------
kitu kingine mimi najijua kuwa mwingi wa habari hapa mjini na stori zangu nyingi anaambiwa na watu yaani mpaka vingine nashangaa kajuaje?ila huwa namkatalia kila siku hilo nalo naona limenipungizia maksi kwake
 
Si umwambie sasa

Ya nini kujiba presha na kusema waweza?

Sioni shida inakuja wapi kkumwambia
Ila ukimwambia chelewesha mchezo kidogo uone anakoelekea

kongosho mwanzo nilikuwa na uhakika ananipenda kabisa maana huwezi amini mpaka professa mmoja ambae ni mtu mzima umri wa babu yangu akaniambia kuwa huyu umempa nini?
Na sikutegemea kama yule baba ataniambia yale maana anaheshima na anaogopwa na chuo chote
ila kwa sasa sina uhakika na mimi ninachohitaji ni siriazi hasa lile tendo tamu siku moja mimi nayeye tulifanye likiwa takatifu limebarikiwa na Mungu
na sio apite tu
hata sijielewi
 
Inajionyesha pia wewe ni mapepe na ticha wako ameshafahamu hujatulia, so ukweli ni kwamba ticha hawezi tena kwa na wewe kama mpenzi wa muda mrefu ! labda sijui umshawishi vipi kwamba unaweza badilika ukatulia naye, inawezekana pia akala mzigo akasepa tu sababu ameshakuona hujatulia.

ur absolutely right
lakini mi si mapepe tatizo ninaonekana na sijampata wa ukweli nimpende anipende kwa dhati wote niliodate nao ni kimjini mjini tu
i wish my ticha anipende kwa dhati
 
wale masharobaro wa chuo huwaoni tena sasa upo mtaani umeshanza kujua ukweli wa maisha ndo unamwona handsome sio na bado namshauri hata hiyo ya kukuona angekata kabisa, watu wenye malengo mkiwa chuo hamuwaoni mnapenda wasuka nywele na wavaa hereni, mkome sasa
 
Hahahaaaa! Umejuaje boss ananikomoa kwa KUMNYIMA KIDUDE!!!!! Leo siku nzima ananituma kama mwanae vileee! Na hivi nilipiga mini, basi kila saa anataka nijipinde kabatini nitafute document za 2001, nikkipata anadai ingine, kiuno chote hoi!!! Ushauri bosi akikuomba mpoze kishkaji la siivo utakiona cha moto kama navokiona mie!!!
NANI KANUNA!
aahhahahhahahha ntafata ushauri wako
 
Nishamjua ticha hata wewe Amu nishakusoma! Mi nilijua jamaa alipiga mzigo kipindi kile, ngoja nimlengeshe aone machungu yako
 
wale masharobaro wa chuo huwaoni tena sasa upo mtaani umeshanza kujua ukweli wa maisha ndo unamwona handsome sio na bado namshauri hata hiyo ya kukuona angekata kabisa, watu wenye malengo mkiwa chuo hamuwaoni mnapenda wasuka nywele na wavaa hereni, mkome sasa

pole sana naona hujasoma thread na kuielewa
anyway kwa ufupi mimi nina malengo for your information sijawahi kutembea na sharobaro wala kinuka mkojo hata mmoja hapa mjini
na kwa ukweli mjini pesa najua kuzitafuta so hata kipindi nipo jobless sikuchoka hata kidogo
na i know am hot town hapa nina wanaume kama 4 bt sina mpango watatu vibosile mmoja kabeba box bila faida karudi huku tz kachoka nimemsitiri hapa mjini asijekuolewa na wanaume wenzie
so sijaishiwa ila ni kwamba moyo umemdondokea ticha nahisi ukaribu wetu umechangia mambo mpaka nifall kwake
 
na chuo kuna malengo gani nyie kushindishana njaa tu mpaka boom litoke leo
mimi mtoto wa town nasshonea wiving kwa jack manyanya 50,000 au kwa sandra bado pamba za maana kipindi kile usafiri nilikuwa sina sijapanda tax bado
bado sijatoka outing
sasa malengo gani chuo mvulana ana miaka 23 mpaka aoe leo??
We unashinda na njaa mwenzako akizipata anatanua na wenzio
thankx God sikupitia hayo
 
Hapa naona mabo yanakua magumu mwambie kwamba
ulikua unajaribu kuona kwamba kweli moyo unamkubali ila
sasa unamfil wakati yeye huoni kwamba anakupenda kama
kipindi kile pole sana "habari ya Mjini"
 
hata mimi ndo nachokifanya kwa sasa ila roho inauma na yeye kama anajua maana siku hizi kila siku lazima tuonane kama si mara 1 basi mara 2
anazidi kunipa presha kila nikiwanae
he is real a gentleman
Kama ni gentleman kisha kujua unampenda, na anachezea akili zako sasa :poa
 
Mkaribishe kwako kama kawa vaa kanga moja mpe kinywaji mchanganyie na valuu na mpige maji kisawasawa baada muda muda utaona kitu ndani ya box kuanzia hapo atatangaza ndoa
 
kama koment yangu hapo juu nilivyosema, tru inaonekana hujatulia wewe mzaramo, mtandao wako ni mkubwa na huyo mwalimu tayari ameshaujua ndio maana na yeye hataki kuunganishwa, na ningekuwa namfahamu huyo mwalimu ningemwambia humfai kabisa!

pole sana naona hujasoma thread na kuielewa
anyway kwa ufupi mimi nina malengo for your information sijawahi kutembea na sharobaro wala kinuka mkojo hata mmoja hapa mjini
na kwa ukweli mjini pesa najua kuzitafuta so hata kipindi nipo jobless sikuchoka hata kidogo
na i know am hot town hapa nina wanaume kama 4 bt sina mpango watatu vibosile mmoja kabeba box bila faida karudi huku tz kachoka nimemsitiri hapa mjini asijekuolewa na wanaume wenzie
so sijaishiwa ila ni kwamba moyo umemdondokea ticha nahisi ukaribu wetu umechangia mambo mpaka nifall kwake
 
na chuo kuna malengo gani nyie kushindishana njaa tu mpaka boom litoke leo
mimi mtoto wa town nasshonea wiving kwa jack manyanya 50,000 au kwa sandra bado pamba za maana kipindi kile usafiri nilikuwa sina sijapanda tax bado
bado sijatoka outing
sasa malengo gani chuo mvulana ana miaka 23 mpaka aoe leo??
We unashinda na njaa mwenzako akizipata anatanua na wenzio
thankx God sikupitia hayo

hapo kwenye nyekundu inaonekana uliendekeza umalaya toka ukiwa chuo na huyo mwalimu akafahamu ndio maana akakushit, sio ajabu na sasa umalaya awako mwingi anaufahamu ndio maana ameamua akufanye rafiki tu tena wa kukusimulia stori za mademu zake!

hapo kwenye zambarau sio kweli wapenzi chuo hawana malengo, mbona wengi tu wanaoana na mapenzi yao unakuta walianzia shuleni au chuo (nina mifano hai ya rafiki zangu), sema tamaa na umalaya ulikuwa uliendekeza toka ukiwa chuo!
 
We dada acha umalaya tulia utapata bwana ,na kwa maelezo yako ata uyu tr inaonekana alishakuchapa, kwani alikuongezea vipi max kwenye izo sup ? hakuna kaz ya bure hapa town na usitufunge kamba kiivo kama vile sisi ni watoto wadogo
 
Mmmh, haya bana
Nakumbuka high skul binti mrembo wa haja alimtumia mwalimu kadi na ua
vila vimwalimu vilivyotoka chuo, kumbe ka mwalimu kameshashika kifaa kingine
Si kakamwanika hadharani

Mweh mweh, yule binti alikuwa sisimizi umkate mara milioni.

Acha dharau
 
to me huyu ticha bado anampenda bi dada na usishangae he is after you simply because he feels you.

to me dont tell him ila endelea kutoka nae as good friends huku ukiumia nafsin halafu najua nature will do its job. chakufanya wewe ni kujipanga kitabia rekebisha zile unazojua zimevuka mipaka halafu usiwe mwingi wa mjini yaani yale mmbo ya leo nataka hii kesho kile not. unatakiwa uwe mtulivu hadi akushangae halafu siku umkaribishe kwako just for lunch mpikie madikodiko ya kufa mtu tenga mule as friends but while doing it potray wife hood xcters utana lazima. wanaume ukiona humpati kabisa mtafute kwenye madikodiko ya ukweli wallah lazima akolee tu.
 
Back
Top Bottom