My Teacher nilikuwa simpendi now nimemzimia kinyama

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
16,103
30,992
Miaka 4 iliyopita nilikuwa naanza kusoma chuo fulani hivi hapa mjini
siku moja nilikuwa nimeingia admission nilikuwa na shida na kitambulisho changu cha chuo ,my teacher akaniona akashtuka kidogo ( ule mshtuko wa OMG where have you been?)akaniita akaniuliza una shida gani? Nami sikusita nikamueleze akanipa kimemo cha yellow akaniambia "write down here ur name+registration number kisha njoo kesho utakuta kila kitu sawa ofisi yangu ni namba .... Njoo mida ya saa saba" basi mtoto wa kike nikamshukuru huyo nikaondoka zangu kumbuka hapo nilikuwa simjui hata jina
kesho yake nikamfata ofisini kwake akanikaribisha kama important VIP mpaka akanitambulisha kwa office mates wake loo na juice nikapewa tukaanza stori na mimi mashaalah mtoto wa kizaramo mkazi wa kariakoo maneno hapa pake
tukaongea kama dakika 45 hivi na akachukua simu yangu akajibip kisha tukaagana na akanikabidhi kitambulisho changu(msiniulize alikipataje maana nilipoteza cha mwanzo nilikuwa nahitaji kingine na nilishalipia bank,na kufata tararibu zote ila nikawa nazungushwa kupewa bila sababu ya msingi na mitihani ilikuwa inakaribia)
since that day tukawa marafiki sana na my ticha akafall kwangu akanieleza live ila mimi picha nilishaisoma tokea siku ya kwanza kuwa kamind figa
kiukweli mimi sikumpenda hata kidogo ila kwa sababu ni my ticha kumpa live noma maana chuo chenyewe discontinue nje nje plus masup ya kumwaga nikamwambia tuwe marafiki tu ili kujuana vizuri mi napenda serious relationship
akanielewa na ile semester nikapigwa supp somo moja hivi na mwalimu wa somo lile ni friend wa my ticha nikaingia chumba cha mtihani lahaula mtihani kigongo maswali manne lakini nayajua mawili tu na kila nikipiga mahesabu ya passmark hazifiki
nikatoka chumba cha mtihani break ya kwanza kumtafuta my ticha nikamwelezee akaniambia kuwa baada ya wiki mmoja wataanza kusahihisha so hiyo wiki nimkumbushe
wiki ikafika nikamtafuta nikampa exam number na registration number basi akafanya mambo (
namshukuru kwa hilo maana ningerudia mwaka)
tukaendelea kuongea nikiwa bored namfata ofisini tunaongea na yeye akinimiss ananiambia namfata ofisi tunapiga stori na kwake alinipeleka lo the guy is young plus he is loaded and he is from wealth family bt mimi nilikuwa nasubiri mpaka moyo umuangukie
mwaka wa pili semester ya pili tukawa hivyohivyo wanafunzi wambea rumours oo mtoto mzuri mchumba wake ticha.....huwa anashinda nae ofisini basi ili mradi full umbea tu
basi tukawa gud friends na kiukweli tukawa hivyo
basi kwa bahati mbaya akaja kuwajua watu kama wawili niliodate nao kipindi nasoma mmoja tulikuwa tunaagana JKIA kwa makiss kumbe akaniona bwana kisha baada ya jamaa kukwea pipa akanicall akaniambia mpaka hapo nikajishushia marks nikaamua siwezi kuwa naye tena mwingine nikadate nae kumbe ni rafiki wa rafiki ya my ticha so habari akazipata mpaka hapo nikaona siwezi kuwa nae tena zaidi ya urafiki na mapenzi sikuwa naye ila hakukata tamaa pia my ticha kuna kipindi nilipata matatizo ya ada hapo chuoni akanisaidia ada na kumalizia mwaka
kiukweli alikuwa msaada mkubwa sana kwangu
mpaka nimemaliza chuo huu mwaka wapili sasa ila tunamasiliano mazuri na haipiti wiki bila hajaniona ila hayuko siriazi na mimi tena ananichukulia pouwa sana na nahisi mapenzi hana tena mimi kipindi hiki nampenda yani jamaa mbaya lakini kipindi hiki namuona bonge la handsome na yeye hana usirisazi na mimi ananichukulia ananichukulia zaidi ya urafiki hapa ninapofanyia kazi ni karibu na anapokaa na yeye kwa sasa yupo likizo so huwa anakuja sana kunitoa lunch na jioni ananifata ila hayuko kimapenzi ni kiurafiki tu na anavyoongea na mimi ni kama vile anaongea na washkaji tena wanabishana mpira bar roho inaniuma
natamani kumwambia bt nashindwa na pia sielewi nifanyeje awe kama zamani anijali na anipende
sometimes ananiambia mambo ya wasichana zake tena ananiambia nipo nao bt sijajicommit nawajua wadada kama wanne kwa wakati tofauti madem zake na wao wananijua kama rafiki ya my ticha
nayeye anasema nilikupenda wewe tu bt ukanikataa sometimes natamani kumwambia mimi nakupenda kwa sasa ila nashindwa nabaki kuzugazuga tu na nahisi hata nikimwambia hatakuwa siriazi tena na anaweza kula mzigo kisha akasepa na urafiki nikaupoteza tena
naombeni mnishauri nifanyeje?
Nimrudishe kama zamani
kitu kingine mimi najijua kuwa mwingi wa habari hapa mjini na stori zangu nyingi anaambiwa na watu yaani mpaka vingine nashangaa kajuaje?ila huwa namkatalia kila siku hilo nalo naona limenipungizia maksi kwake
na sasa tunavyoonana kila siku mchana na jioni anazidi kunichanganya akili na yeye hana habari na mimi zaidi ya ushkaji
 
jilipue tu mdada, mwambie umefika bei huli hunywi unamuwaza yeye......

Kwani akikumwaga utachubuka?
 
hizi mada hizi lara 1 ndo director wa kitengo chake ngoja aje,sasa hivi anamaliza kazi alizopewa na her super handsome boss atakujibu!
 
Last edited by a moderator:
hizi mada hizi lara 1 ndo director wa kitengo chake ngoja aje,sasa hivi anamaliza kazi alizopewa na her super handsome boss atakujibu!

Hahahaaaa! Umejuaje boss ananikomoa kwa KUMNYIMA KIDUDE!!!!! Leo siku nzima ananituma kama mwanae vileee! Na hivi nilipiga mini, basi kila saa anataka nijipinde kabatini nitafute document za 2001, nikkipata anadai ingine, kiuno chote hoi!!! Ushauri bosi akikuomba mpoze kishkaji la siivo utakiona cha moto kama navokiona mie!!!
 
Mmmh, haya bana
Nakumbuka high skul binti mrembo wa haja alimtumia mwalimu kadi na ua
vila vimwalimu vilivyotoka chuo, kumbe ka mwalimu kameshashika kifaa kingine
Si kakamwanika hadharani

Mweh mweh, yule binti alikuwa sisimizi umkate mara milioni.
 
Hahahaaaaa! Naona STAKI NATAKA IMEISHIA UNATAKA SANAAAA! Unalo hilo bibi wewe! Ila halishindikani jambo mbona!!!? Hapo easy kabisa, lazima ucheze kama professional ball player, ukijilegeza tu ushakosa yote! Upo hapo! Hapo inatakiwa ufunge goli kama DROGBA alilofunga fainali ya CHELSEA VS BUYERNMUNICH!!!! Bao la kiufundi!!! Hapo kinachotakiwa umualike kwako kama huna ata kwa rafiki yako, mtungue maji ya dhahabu weee, MPAKA KUJIFANYA ULEVI NOMAAAA! Alafu mlegezee uone kama paka akiona samaki atalia NYAUUU! au atapita KIMYA!!! Hapo ndo utapata uhakika! Usisahau kujilinda japo na LADY PEPETA, au DUME!!! LOL! (Kuna mtu ka ni PM nachochea ngono zembe, basi najiunga na TACIDS kuelimisha!!! LOL!)
 
Hakuna faida tena the game is over :biggrin:

Mimi nakushauri hivi endelea tu kuwa naye kama rafiki, ukijifanya kumuambia unampenda atakuchapa bakora kisha hutamuona tena, mana ulijidai tokea mwanzo humpendi.
 
''...kitu kingine mimi najijua kuwa mwingi wa habari hapa mjini na stori zangu nyingi anaambiwa na watu yaani mpaka vingine nashangaa kajuaje?ila huwa namkatalia kila siku hilo nalo naona limenipungizia maksi kwake''.
Sasa sababu unayo afu unashangaa kwanini jamaa hashtukii mzigo? what goes around comes around mamii, you gotta clean your house before sending invitations.
Lakini ninachoweza kukwambia ni kwamba,ticha anakufatilia coz deep down his heart bado anakufeel sana na ndio maana anataka kujua nani ni nani kwako and all that. katika maisha ya kitanzania(sijui kwa waafrika wengine) ni watu wachache sana they can remain as ''just friends'' kama hivyo bila mambo kugeuka. Nina hakika ukitulizana na kuacha hii mambo 'mingi mingi' inayokusumbua, jamaa utamkamata tu. Take it from me!
 
Hahahaaaaa! Naona STAKI NATAKA IMEISHIA UNATAKA SANAAAA! Unalo hilo bibi wewe! Ila halishindikani jambo mbona!!!? Hapo easy kabisa, lazima ucheze kama professional ball player, ukijilegeza tu ushakosa yote! Upo hapo! Hapo inatakiwa ufunge goli kama DROGBA alilofunga fainali ya CHELSEA VS BUYERNMUNICH!!!! Bao la kiufundi!!! Hapo kinachotakiwa umualike kwako kama huna ata kwa rafiki yako, mtungue maji ya dhahabu weee, MPAKA KUJIFANYA ULEVI NOMAAAA! Alafu mlegezee uone kama paka akiona samaki atalia NYAUUU! au atapita KIMYA!!! Hapo ndo utapata uhakika! Usisahau kujilinda japo na LADY PEPETA, au DUME!!! LOL! (Kuna mtu ka ni PM nachochea ngono zembe, basi najiunga na TACIDS kuelimisha!!! LOL!)

Kitu shambulizi moja na goli juu tena dakika ya 90, wakat bayern mashambulizi 900 goal 1...

Dah kila nikisoma thread nakuwa mnyonge kwa hiyo kina sisi tusiotoka well of family tunalo mwaka huu, mdada yeyote mzuri akitoa sifa lazima aweke na loaded and from well of family,,,, dar tusio na urithi mjini hapa mbona tunalo,,,, tutakula kwa macho tu
 
Acha wogaaa! Hakuna aliezaliwa na MIDOLARI!!! Ipo humuhumu duniani, WE KOMAA KUTAFUTA MIDOLARI TU!!! One day YES!!!! Utawapangisha foleni sanaa tu mbonaaa! Mungu akunyimi vyote!!! Akikunyima PESA, Inshaaalah! DUSHELELE LA UKWEE KAMA DAIMONDO (Nimesikia ni nomaaaaa!, mmanyema yule!) SI HABA! Mjini Mipango, iko siku utachomoka tuuu!
 
lara 1 sina comment aiseee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
@Badilitabia umeiona hii kauli ya Mwalimu? "nilikupenda wewe tu bt ukanikataa" hata binti akiamua kujilipua njemba itakula uroda kisha kujisepea na maisha yake. Kama binti yuko tayari kugawa uroda bila ya kuwa na future expectations basi ajilipue tu.

jilipue tu mdada, mwambie umefika bei huli hunywi unamuwaza yeye......

Kwani akikumwaga utachubuka?
 
Kitu shambulizi moja na goli juu tena dakika ya 90, wakat bayern mashambulizi 900 goal 1...

Dah kila nikisoma thread nakuwa mnyonge kwa hiyo kina sisi tusiotoka well of family tunalo mwaka huu, mdada yeyote mzuri akitoa sifa lazima aweke na loaded and from well of family,,,, dar tusio na urithi mjini hapa mbona tunalo,,,, tutakula kwa macho tu

Umeona eeh....hapa kina lara 1 uwasahau kabisa, kubwa la maadui...si umeona ushauri anaompa eti ajilengeshe....sasa kama haupo "loaded" kama kina siye.....mbona tutajibeba

On a serious note hii situation inatokeaga sana, na nadhani nilishaisemaga hapa, kwa nini umzungushe zungushe mtu

halafu lara 1 hebu nambie ile theory kwamba ukkiona unapendwa kuna mtu kapigwa/piga chini hapa haiapply kweli? daaamn,
 
Hahahaaaa! Hapa haiapply, hii ni situation tofauti inaitwa ON SECOND THOUGHTS!!! LOL! Hii inakuwa wakati ulikuwa unafukuzia, SOME FACTORS WERE MISSING!!! E.G CASH!!! Sasa hapo mdada anakuwa anajishauri : He is cute! Angekuwa na cash ningemkubali! Ila ndo hivo tena! LOL! ILA ALHAMDULILAH! THE GODS ARE IN YOUR FAVOUR UKAZIFUMANIA!!!! BAAAAAAS! KUFIKIRIWA UPYA HAKUKWEPEKI!!! LOLEST!
 
[h=1]In the end we only regret chances we didnt take. The relationships we were scared to have and the decisions we waited to long to make there comes a time in your life when you realise who matters, who doesnt, who never did and who always will.[/h]
 
Back
Top Bottom