My story

vp ww mbona unaonekana kama hujaenda shule?unamjaji mtu kwamba ameenda shule kwa lugha uko ni kuathiriwa na ukoloni!

Mlaponi tafadhali amka mkuu, kama vyuo vinatumia lugha ya kiingereza katika kufundisha; inabidi by default lugha ipande kwa wanafunzi. Sasa kama communication mtu inamshinda, uelewaji wa masomo darasani yanayofundishwa kwa kiingereza unatia wasiwasi..na wasi2 unaenda mpaka mtu anapopata ajira...ufanisi wake utakuwa na hitilafu hiyo tukubali.
Simlaumu chige, huo ndio uelewa wake wa lugha. Mimi nailaumu nchi, njia iliyoamua kuifuata kuhusiana na hii lugha na matumizi yake mashuleni na vyuoni.
Ukweli usiofichika miaka inavyoenda elimu yetu inazidi kudidimia na inachangiwa sana na lugha inayotumika kufundishia. Magraduate wa leo kwenye vyuo vyetu, honestly wanatia huruma, wakifanya presentation au wakiandika report unatamani ujifiche chini ya uvungu..LOL.....mpaka unawaza vyuoni watu wanafundishwaje? Kumbe ni lugha tu inampiga chenga Lecturer mpaka wanafunzi wake...
Something has to be done..au sivyo tunazidi kuwa kichekesho.
Mimi naona bora iamuliwe aidha Kiswahili kianzie primary mpaka Chuo AMA kiingereza kianzie primary mpaka chuo ama sivyo huko mbele itakuwa vituko..hali halisi inajionyesha.

 
It has all what people would like to hear under prevailing political situation of our country and our neighbors in general. It’s investigative novel where its main theme is CORRUPTION. I have been trying to contact some publishing companies, but they’re not comparative. I guess most if not all of them prefer the work of reference books for schools - the market is there!the post wanted a person... since I’d to take a flight so as I could attend the interview! . if we u have anything we can share, please get in with PM
Mkuu Chige, kwenye hii post yako, inaonyesha ili edit, ile barua yako ukasahau kuirudisha, hivyo mtu akikutembelea hapa, anaweza asielewe hii post in a husu mimi, mimi nimekuja huku baada ya huyu jamaa kukuita eti wewe ndio mimi nimekuja na ID nyingine!.
mtoa uzi ni pasco ila umebadili ID
Pasco
 
Mkuu Chige, kwenye hii post yako, inaonyesha ili edit, ile barua yako ukasahau kuirudisha, hivyo mtu akikutembelea hapa, anaweza asielewe hii post in a husu mimi, mimi nimekuja huku baada ya huyu jamaa kukuita eti wewe ndio mimi nimekuja na ID nyingine!.

Pasco
Yaani Pasco miaka yote uliyokaa JF bado unahangaika mtu akikuambia "Pasco" amekuja na ID mpya?
 
Last edited by a moderator:
Yaani Pasco miaka yote uliyokaa JF bado unahangaika mtu akikuambia "Pasco" amekuja na ID mpya?
Mkuu Chige, sihangaishwi na mtu kunidhania mimi ni nani, bali kwa bahati mbaya kuna sisi wengine humu, tuna damu ya kunguru, hasi kupitishwa kwa maazimio ya kususiwa!, sasa inapokea ana innocent victims kama wewe kusingiziwa ndio mimi, usipokanusha kwa nguvu na mapema, watu wanaweza kuamini ni kweli hali itakayohatarisha future threads zako kukumbwa na retaliation kuwa ukimuona Chinge, ujue ni fulani!.
Pasco.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom