My phone number

Ganesh
Una uhusiano na Mwalimu JKN?
Kuna mijitu kama nyani ngabu itakuwa ina kubeep hata kwa kwenye call box..
 
Last edited by a moderator:
We ni dem? kama ni dem hapo umenikamata sana tu,nitakutafuta mida ili nione kama una sauti ya urembo.
 
Unashughulika na nini?Uko wapi?Jitambulishe vizuri ili tukutafute kwa sababu,nafikiri utafanya hivyo kama ulivyoamua kuweka wazi Phone Number yako.
 
Unapoachia namba yako ya simu kwa jinis hii, fikiria sana madhara yake, Tunaamini kwa nchi kama Bongo ambayo japo Serikali kupitia Tume ya Mawasiliano (TACRA) inaratibu na kusimamia mawasiliano ikiwemo simu na hivi karibuni zoezi la kusajili simu na namba limekuwa likiendelea, ukiachia nia kuu ya kuzuia uhalifu (crime control) bado tunawasiwasi kubwa juu ya uwezo wa Serikali na vyombo vyake kulinda haki za wenye namba (right to privancy) hususan pale ambapo zoezi hili limekuwa likiendelea pasipo kuwa na na Sheria ya kulinda taarifa za wateja (Data Protection Law) kama ilivyo kwa nchi zilizoendelea. Tutaamini vip Serikali itawajibika pale taarifa au mawasilino yatakapovyujishwa na watendaji wake au vyombo vya serikali vitakapohusika kufuatilia taarifa binafsi za watu muhimu kwa nia ya kuwabana nyendo zao. Kwa mfano, kwa nchi zenye Sheria ya kulinda taarifa (Data Protection) ni marufuku kwa watunza taarifa kutoa siri za mtu na pia sheria inatoa haki kwa mtu anaeathirika kwa taarifa zake binafsi (personal information) kuvujishwa kudai fidia. Kwa sasa wakati makampuni ya simu yanalazimika kusajili namba zetu, hatuna pia uhakika iwapo watendaji kwenye makampuni ya simu hawatatumia vibaya taarifa zetu binafsi.
 
MI NAHISI HARUFU YA UFATAKI JAMANI...MMMMHHH.....umepita angaza??
kidding...
 
mbona haipatikani?

kwanza mtanisamehe namba hii nimeiingiza kwenye program yangu so nitaitress kwa sms zote, zitakuwa zinaanzia kwangu na calls zote.

nataka nijue una malengo gani kutuanikia namaba yako hapa
 
Vizuri,lakini kwa nini umeamua hivyo au una bines gani muhimu wataka tuijue, isije kuwa tu unataka kujiweka busy na great thinkers.!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom