My nokia 6630.

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Nisaidieni: software gani naweza ku install ktk simu yangu ili niweze kuangalia video data kutoka kwenye internet?
Pamoja na software zingine ambazo ziko suported na nokia 6630.
 
Nisaidieni: software gani naweza ku install ktk simu yangu ili niweze kuangalia video data kutoka kwenye internet?
Pamoja na software zingine ambazo ziko suported na nokia 6630.

Konzogwe, video nyingi katika mtandao ni za flash (flv), kuna nokia nyingine zinauzwa zikiwa na pre installed flash players na browser hivyo kama hiyo yako unaweza kudownload na kuinstall.

Kuna version 3 tayari ya flash plyer light for mobiles. Tafadhali nenda kwenye link ifuatayo, register for few details kisha download:

https://www.adobe.com/cfusion/entitlement/index.cfm?e=labs_flashlite3

Browser ya nokia Opera 9.5 kwa ajili ya ku-install kwenye expandable memory unaweza kuipata hapa: http://rapidshare.com/files/126875580/Opera_v9.5_VGA_SD_Build_1409__WWE_.cab

Opera 9.5 kwa ajili ya main memory ya simu unaweza kuipata hapa:
http://rapidshare.com/files/125932158/Opera_v9.5_QVGA_Build_1409__WWE_.cab

Good luck.
 
Nisaidieni: software gani naweza ku install ktk simu yangu ili niweze kuangalia video data kutoka kwenye internet?
Pamoja na software zingine ambazo ziko suported na nokia 6630.

..inategemea unataka zikusaidia kwenye nini. labda ku-browse,games,etc.

..nenda hapa ukajionee kinachokufaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom