AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Hiyo picha inanifanya nikupite bila kukutambua. Aaah. Mambo ya mwisho wa dunia nini umeamua kujisitiri!
lol.....lol...lol.... Nimeona niende saloon kidogo maana nilisemwa mbaya saana, na si unaelewa tena mwanamke kusifiwa sunah! Nipe maoni.. do you like it Nk...