my new signature......

Huyu ataishia kucheza machungani ng‘ombe wapotee....!
Lizzy una undugu na Marehemu Sheikh Yahya?..............hebu soma hapa chini.....
Ng'ombe wameibiwa babu

Asprin mi mzima wa afya rafiki... Asante kwa ujumbe but hizo salamu zilifika... hata hivyo siku hio Kaizer hakunipata mpaka ilibidi atinge home...
Orayt....kwahiyo mtafutano ulishaisha?.....Nami pia nakutafuta ujue.
 
Bishanga hanaga matatizo mkisha fika a point wote mnakubali hua anayamaliza.... he is a good man... Kimbembe kipo kwa wengine...lol
Hahhaha wengine ni mitihani isiyo na majibu!!!How is your saturday partner?!
 
Lizzy una undugu na Marehemu Sheikh Yahya?..............hebu soma hapa chini.....

Orayt....kwahiyo mtafutano ulishaisha?.....Nami pia nakutafuta ujue.

Babu kama wewe una undugu nae lazima na mimi nntakua nao japo sipendelei!!!
Hehehheh....mzembe sana huyo!!
 
Acha kabisa mpenzi... Enways saturday yangu leo iko slow but OK. Wewe leo wapi??

Namwonea wivu sana Lizzy...kuitwa cheo hicho hapo kwa red wikiendi kama hii, na mtu spesho kama Asha D, dhambi zangu zote zitafutwa!
 
Asprin taratibu aisee... mi naona nimeahirisha sitaki tena kujua...

Hahahaha...sikujua we mwoga vile.

Hivi leo jumangapi? Damn! Sasa nafanya nini hapa? Hii adiksheni ya JF hebu nipeni sumu ninywe....Khaa!
 
Bishanga mbona wewe umechukulia huko?
ile enzi kabla taleban hawajaikamata kandahar,siku hizi noma hakufai,full scholarship nafikiria Asha kumpeleka Universitat Monte Carlo principe de Monaco.
 
ile enzi kabla taleban hawajaikamata kandahar,siku hizi noma hakufai,full scholarship nafikiria Asha kumpeleka Universitat Monte Carlo principe de Monaco.

Huku ndo alichukulia Shahada ya kwanza S.Simba
Sasa sijui unamwandaa Asha D awe na sifa kama za huyo mama?
 
Namwonea wivu sana Lizzy...kuitwa cheo hicho hapo kwa red wikiendi kama hii, na mtu spesho kama Asha D, dhambi zangu zote zitafutwa!

Mi nashindwa kabisa kuwaelewa nyie shem zangu... na sasa naacha kuwalaumu inawezekana mimi ndo mwenye makosa... ngoja nitafakari na nichukue hatua....:decision::decision::decision:
 
Back
Top Bottom