My new Resolutions..............

Leo mimi mkalimani......hapa Kongosho anamwambia M'Jr kwamba alikuwaga anamzimikia siku nyingi na kwamba kwa nini anaondoka na anamwambia akibaki chitchat atampa naniliu

Hahahahahaha we mkalimani kweli kiboko lol...... kweli ndio mana hata M'Jr hataweza kuondoka chitchat!......

M'Jr hongera kwa maamuzi ya busara ila hapa panaitwa mtakuja.......usipokuja kuyanywa utakuja kuyaoga......fika salama huko uendako.......ukifika kwenye siasa mpe salamu Rejao na zomba !
 
Last edited by a moderator:

sweetlady, salamu zao zimefika...............sijasema sitapita hapa tena nimesema ntapita mara moja moja kuwapa hi so its not like i am leaving forever. Watu wengi tu tutakuwa tunakutana huko kwingine ninakokwenda.
 
Last edited by a moderator:
Nimegundua siku za hivi karibuni kama nimeanza kubadilika hivi so nimeamua kufanya maamuzi magumu kama ifuatavyo,
  1. Ntajikita zaidi kwenye kutoa maneno yenye busara na ushauri wa kina kwenye mambo mazito (Ntakuwa zaidi kwenye majukwaa matatu, MMU, Siasa na Great Thinkers)
  2. Ntapunguza sana utani ikiwa na maana kwamba ntapunguza sana uwepo wangu kwenye kajukwaa haka
  3. Ntaruhusu maswali yanayohitaji ushauri wa kina basi

Mwisho nawaageni rasmi jukwaa hili kwa muda kadhaa ntakuwa napita tu kuwapa hi.......

Je m'ennuierai de toi tellement M'Jr
 
Last edited by a moderator:
sweetlady, salamu zao zimefika...............sijasema sitapita hapa tena nimesema ntapita mara moja moja kuwapa hi so its not like i am leaving forever. Watu wengi tu tutakuwa tunakutana huko kwingine ninakokwenda.

Mie pia tutakutana huko kwingine manake jukwaa langu lililonifanya nikajoin jf ni jukwaa la sias ila nikichoshwa ndio nahamia huku kuongeza siku za kuishi!
 
Back
Top Bottom