My Hypothesis on CHADEMA/Zitto’s Shadow Budget Blunder

Hiyo bajeti iliandaliwa na kikosi bajeti cha CDM na waliadmit kuwa kulikuwa na typing error sasa unataka kuleta fitina za nini? Kama ni kweli ZITTO ni kibaraka wa magamba ukweli utajulikana na kwa hakika hatadumu CDM!!!!!! But lisemalo laweza kuwepo kama halipo laweza kuja maana ZITTO amesemwa sana jukwaani hapa kwa baadhi ya mahusiano ya kutatanisha na SSM!!!!! Let us wait and see, the truth will prevail at some point in time!!!
 
kwani bajeti aliandaa peke yake? Chuki za udini zimekukaba hata kupumua huwezi! Yaani mnatamani Zitto afe nafasi achukue askofu!

Hapana, sio chuki kabisa. Bali ni fedheha ambayo upinzani ulipata bungeni.
Kumbuka Tanzania inahitaji ukombozi wa kweli na wa dhati.
Angalia facts kama unaipenda Tz
 
kwani bajeti aliandaa peke yake? Chuki za udini zimekukaba hata kupumua huwezi! Yaani mnatamani Zitto afe nafasi achukue askofu!

Ukiwa mdini sana unakuwa na matatizo ya kupambanua mambo na hata kufikiri.
Aliyekwambia CDM wawe makini kwa sababu zito ni Muislam ni nani?
Kama unaweza changia hoja kama huwezi pita kama wengine na siyo kuleta udini usio na maana.
Kwani Zito ndiye muislam pekee katika CDM?
 
Sidhani kama zitto anatumiwa!

Tuelewe yale yalikuwa makosa ya uchapishaji
 
Nani kawamwagia fedha za kuanzisha thread wazimu Ni Nape au Mwigulu au Ridhiwani, muna mapepe nyie munataka nani akubaliane na bajeti ambayo hata sisimizi wanajua haitekelezeki ni bajeti ya kulipa madeni
 
Hapana, sio chuki kabisa. Bali ni fedheha ambayo upinzani ulipata bungeni.
Kumbuka Tanzania inahitaji ukombozi wa kweli na wa dhati.
Angalia facts kama unaipenda Tz

Nilitaka kusema 'Wewe ni adui namba moja wa mabadiliko'..................!

CHADEMA ni wamoja Bungeni unataka kututoa kwenye ajenda iliyoko mbele yetu.We just wonder why anytime CCM is under pressure, a few Tanzaniams are sacrificed to change the topic.In other words, is it possible that this is an attempt to change public focus? Any one with an IQ of over 40 knows that there is a malicious intent behind.

Tuache wabunge wetu wafanye kazi waliyotumwa bungeni,Huku nje tujiunge pamoja na wanaharakati wengine,wanazuoni na wananchi kwa ujumla tuwape sapoti wabunge wetu walioonyesha kuibana serikali kupitia bajeti hii kandamizi.Jaribio lolote la kutugawa hatuwezi kukubaliana nalo.Kimsingi nimegundua CHADEMA ni chama ambacho kinakuwa United hasa wakati wa crisis.Kinachoendelea bungeni ni Janga.So please dont divert people's attention.
 
IKITOKEA ZITTO AMEONDOKA UJUE CHADEMA NAYO ITAKUFA KINACHOWAKWAZA CHADEMA MPAKA WANA WASILISHA BAJETI MBOVU WENGI WABUNGE WAO HAWANASHULE YAKUTOSHA WEWE EBU FIKIRIA KICHWA CHA MBOWE KWELI KINAWEZA KU DIGEST NINI KWENYE BAJETI? HAYA KUNA SUGU HAMNA SHULE KAZI YAKE KUTINGISHA KICHWA KAMA ANASIKILIZA WALKMAN,HAYA KUNA WATU WANA DEGREE ZA SHERIA ZA UCHAWI TEOLOGY,WACHUNGAJI NA BAJETI WAPI NA WAPI,MZEE ARFI MSKINI ANA CERTIFICATE YA RAILWAY KWELI ANAWEZA KUMPA CHANGAMOTO MWAKYEMBE CHINI YA KATIBU MKUU WAKE eng OMARI CHAMO WA UCHUKUZI? UKU KWA AKINA MAMA NDIYO USISEME HALIMA MDEE MPAKA LEO HANA LA KUIONGELEA BAJETI KWA JINSI ILIVYOSUKWA KITAAALAMU,NAWAAMBIENI ENDELEENI KUPIGA MAKELELE LAKINI CCM INAANZA KUJA JUU KWA KASI YA AJABU
 
My dear you are missing a very critical point here. Mind that Zitto was not reading a hard copy handed to him by the typist. He was presenting directly from the original soft copy stored in the iPad. How come you categorize this as typo or printing error?

Sidhani kama zitto anatumiwa! Tuelewe yale yalikuwa makosa ya uchapishaji
 
Nani kawamwagia fedha za kuanzisha thread wazimu Ni Nape au Mwigulu au Ridhiwani, muna mapepe nyie munataka nani akubaliane na bajeti ambayo hata sisimizi wanajua haitekelezeki ni bajeti ya kulipa madeni

Wanashindwa hata kutumia watu smart.Usishangae kukuta hata aliyepost ni Mbunge wa kile chama kingine dhaifu.Otherwise these guys.....could at least find partly intelligent thugs to speak for them rather than the limited vocabulary, self repeating, gutter-chaps they are currently depend on
 
Upepo tu huu utapita..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
dhaifu+mamba+sokwe jumlisha na vibaraka wengine wote wanaofuata huwezi pata kichwa kimoja ZITO ZUBERI KABWE ,kamanda piga mzigo achana na hao wakaanga mbuyu.
 
Inawezekana zito akakosea kama binaadam yoyote ila kwa upande mmoja dini yake inamugharimu ukweli utasemwa tu kwani hiyo bajeti aliiandaa chumbani kwake bila viongozi wake kuwashirikisha kwani mangapi yanakosewa na wakubwa zake na stili mnaunga mkono hata kama ya kijinga acha chokochoko zisizo na mcngi tizima wapi ulipo jikwaa
 
Hiyo bajeti iliandaliwa na kikosi bajeti cha CDM na waliadmit kuwa kulikuwa na typing error sasa unataka kuleta fitina za nini? Kama ni kweli ZITTO ni kibaraka wa magamba ukweli utajulikana na kwa hakika hatadumu CDM!!!!!! But lisemalo laweza kuwepo kama halipo laweza kuja maana ZITTO amesemwa sana jukwaani hapa kwa baadhi ya mahusiano ya kutatanisha na SSM!!!!! Let us wait and see, the truth will prevail at some point in time!!!

Kwa nyongeza tu, Kikao cha wabunge kujadili bajeti ya serikali Dodoma kimeibua kujua wengi ambao wanakiwango kidogo cha kufikiri na kupambanua.

Serikali haina bajeti mbili, ni bajeti moja tu inayoandaliwa na serikali iliyoko madarakani na ndiyo inayojadiliwa. Inayosemwa bajeti ya wapinzani ni maoni ya wapinzani dhidi ya bajeti ya serikali. Wapinzania kwa kuandaa rasimu ya mfano wa bajeti ambayo wanaona ilitakiwa ili kuonyesha kasoro za bajeti ya serikali.

Wale waliovimbisha mishipa kujadili maoni ya bajeti iliyoandaliwa na upinzania ni wafungwa kiakili, mwenye akili timamu hawezi kupoteza na kutoa nyongo kwa kitu ambacho ni maoni tu. Hao ndi akina Mchemba wenye kuhamasika hadi kuchana hadharani ikiwa ni dalili hajui aliingia pale bungeni kujadili bajeti ya serikali au maoni ya wapinzani kuhusu bajeti ya serikali?

Kitu cha msingi tuelewe wapinzania huandaa maoni ya bajeti baada ya kusoma bajeti ya serikali na kuona kasoro zilizomo. Kwa hiyo haziandaliwi bajeti mbli bali bajeti moja tu ndiyo inayoandaliwa, kujadiliwa na kupitishwa au kukataliwa.
 
IKITOKEA ZITTO AMEONDOKA UJUE CHADEMA NAYO ITAKUFA KINACHOWAKWAZA CHADEMA MPAKA WANA WASILISHA BAJETI MBOVU WENGI WABUNGE WAO HAWANASHULE YAKUTOSHA WEWE EBU FIKIRIA KICHWA CHA MBOWE KWELI KINAWEZA KU DIGEST NINI KWENYE BAJETI? HAYA KUNA SUGU HAMNA SHULE KAZI YAKE KUTINGISHA KICHWA KAMA ANASIKILIZA WALKMAN,HAYA KUNA WATU WANA DEGREE ZA SHERIA ZA UCHAWI TEOLOGY,WACHUNGAJI NA BAJETI WAPI NA WAPI,MZEE ARFI MSKINI ANA CERTIFICATE YA RAILWAY KWELI ANAWEZA KUMPA CHANGAMOTO MWAKYEMBE CHINI YA KATIBU MKUU WAKE eng OMARI CHAMO WA UCHUKUZI? UKU KWA AKINA MAMA NDIYO USISEME HALIMA MDEE MPAKA LEO HANA LA KUIONGELEA BAJETI KWA JINSI ILIVYOSUKWA KITAAALAMU,NAWAAMBIENI ENDELEENI KUPIGA MAKELELE LAKINI CCM INAANZA KUJA JUU KWA KASI YA AJABU

nguruwe* ww unayeamisha watu eti CDM hakuna wasomi sasa subiria 2015 tutaingiza vijana wengine wengi tena wasomi kama wakina Heche, saanane, j mrema etc ndio hapo mtaisoma namba.
 
IKITOKEA ZITTO AMEONDOKA UJUE CHADEMA NAYO ITAKUFA KINACHOWAKWAZA CHADEMA MPAKA WANA WASILISHA BAJETI MBOVU WENGI WABUNGE WAO HAWANASHULE YAKUTOSHA WEWE EBU FIKIRIA KICHWA CHA MBOWE KWELI KINAWEZA KU DIGEST NINI KWENYE BAJETI? HAYA KUNA SUGU HAMNA SHULE KAZI YAKE KUTINGISHA KICHWA KAMA ANASIKILIZA WALKMAN,HAYA KUNA WATU WANA DEGREE ZA SHERIA ZA UCHAWI TEOLOGY,WACHUNGAJI NA BAJETI WAPI NA WAPI,MZEE ARFI MSKINI ANA CERTIFICATE YA RAILWAY KWELI ANAWEZA KUMPA CHANGAMOTO MWAKYEMBE CHINI YA KATIBU MKUU WAKE eng OMARI CHAMO WA UCHUKUZI? UKU KWA AKINA MAMA NDIYO USISEME HALIMA MDEE MPAKA LEO HANA LA KUIONGELEA BAJETI KWA JINSI ILIVYOSUKWA KITAAALAMU,NAWAAMBIENI ENDELEENI KUPIGA MAKELELE LAKINI CCM INAANZA KUJA JUU KWA KASI YA AJABU

Obsessed na majina ya watu.I believe you can do better than this.Another way of distraction from the burning issues at hand.

Bajeti iliyosukwa kitaalamu? It is far more honourable to say I don't know, than to come up with another incoherent babbles.

Vijana kama ninyi mngekuwa South Africa Enzi za utawala wa makaburu sijui kama A.Kusini hadi leo wangekuwa wamepata uhuru.Naona mngekuwa upande mmoja na makaburu tu.Bajeti kandamizi,bajeti hatarishi kwa vijana na vizazi vijavyo unaita bajeti iliyosukwa kitaalamu. deni la taifa leo bilioni 22 ukiligawa kwa wastani wa Watanzania milioni 45 kila mmoja atadaiwa sh.488,888.89.Hadi kichanga ambacho hakijazaliwa kinadaiwa.

The only available evidence to work with, is what you know exactly with strong backup and not making up things to suit whatever fictional film in your mind.

My dear you are missing a very critical point here. Mind that Zitto was not reading a hard copy handed to him by the typist. He was presenting directly from the original soft copy stored in the iPad. How come you categorize this as typo or printing error?

Typing Error............
 
Back
Top Bottom