My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

sawa kabisa, hizo fikira colleagues wa mr wanazo sana,ukimpitia jioni kumchukua wanaona kama watu tupo paradise mpaka wanamuuliza kama tumeshawahi hata kukaa nusu saa bila kuchekeana....mwenyewe akinihadithia hivyo ananiambia:"wangejua huyu chizi wangu nikimuazima mtu kwa dk 5 atanical nije nimchukue haraka iwezekanavyo"...naishia kufurahi tu mana anajua ana chizi na ndio chizi anamfanya tusonge na maisha vizuri.

ni vizuri uchizi wenu mkaonyeshana wenyewe, watu nje wanajua mpo perfect, kumbe mnajua wenyewe. I like that kwa kweli.
 
:evil: Dont feel sad my dada be happy and just trust in Jesus Christ, pls dont try to get away but love ur husband and be polite the only solution is to pray for him iam sure he will get back again.
pole sana Mungu akutie nguvu.
 
Pole sana kwa matatizo yaliyokupata (yaliyompata rafiki yako). Nashindwa nianzaje lakini naamini suluhisho la matatizo mengi yaliyonje ya uwezo wa mwanadamu siku zote ni Mungu. Inawezekana wewe si muani wa huyo tunayemuita Mungu lakini nakusihi chukua hatua mjaribu leo. Piga magoti, umlilie yeye aliyekupa mume ambadilishe. Kuvunja ndoa siyo mwisho wa tatizo. Hakuna aliyeiona kesho isipokuwa Mungu peke yake. Hujui nini kitatokea next baada ya kuvunja hiyo ndoa iwapo utaamua kufanya hivyo. Nakushauri, ikiwezekana wala usiseme naye juu ya hilo kama mwenye anavyosema wewe Sema na Mungu. Mwambie Mungu yeye ni jibu la matatizo yote. Atambadilisha kuanzia jinsi anavyofikiri mpaka matendo yake. Atampa hekima na upendo. Unapoamua kumtegemea Mungu, jitoe mzima mzima, usichanganye mambo. Usilie, usihuzunike jibu lako lipo kwa Mungu. Mungu anakupenda, anakuwazia mema siku zote. Mungu akusaidie.
 
Ni muhimu sana kuangalia ni wapi mlikutana je mlipendana kwa dhati kabla ya kuoana au ww ulikua umeficha makucha yako baada ya ndoa ukaanza kuyakunjua?wanaume wanahitaji kubembelezwa dadangu.Vuta subira kumbuka aahdi ulizozitoa kanisani au msikitini wakati mkifungua ndoa.Vumilia mmbembeleze wanaume wadhaifu sana kwa nyie mpe mapenzi ya dhati hata kama akichelewa usimuwekeee uso wa mbuzi.we utaona tu kalegea then mnaongea baada ya hapo mambo yanasonga kama kawaida.

blue...wengi wetu tunaonyesha makucha halic tukiwa ndoani, hiyo ni kawadia ya wengi wetu, hapo sasa ni kukabiliana na hayo makucha na msonge na maisha....kwenye red kweli nimekuwa bubu....hivi bado hayo mambo yapo? yaani mtu kakujia asubuhi umbembeleze tena?nani asiyependa kubembelezwa na ampendae?
 
Nyamayao jibu la swali lako hili hapa

Nimejaribu sana kukaa nae chini kuongea Since he doesnt discuss issues wit me as they arise, it gets to a pt whr he explodes, & that normally results in him beating me, squeezing my neck, bruises evywhr. hhhmmmmmmmm, i pray God gives me the strenght to hang on here all the way ..

Huyu sasa asimtie Mungu majaribuni................. strength gani sasa anayoiomba? am-rest in peace? aache ujinga, huo mimi nauita ujinga. kwani hana kwao? si arudi ajipange upya? huyo mume ndo kila kitu? kama kila kitu chake ndo hivyo, yupo tayari kupoteza maisha? c'mon, atumie akili zake na yeye
 
Kwa hisana ya watu wa Marekani...Mwambie huyo dada atafute tundu la kupitia kabla hajajikuta mochuari! Kama bado yuko hapo home basi ni mgonjwa. Hata mama zetu alioozwa juu ya vichuguu kwa kuzindikwa na mizimu hakuwahi kuvumilia upuuzi wa namna hiyo...

Nimekereka sana....:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Jamani hebu kina dada mama kwa upande mwingine tuangalie je inawezekana huyu mwanamke ana tatizo ndani ya ndoa yake ?
Kwa mwanaume kuondoka siku 5 na kurudi home bila kutaka maelezo yoyote inawezekana kagundua mambo ambayo mkewe labda amefanya na anashindwa kumwambia ?or The man is married secretly and that is where he spends his 5 days.
Si kawaida kwa ndoa ambayo haina hata mwaka mambo kuanza kwenda mrama namna hii utadhani wana 10 years
HOLY FIIIIIIIRRRE!!!May be is a Devil sprit ? :A S angry:
 
@FL1

ndugu yangu naomba niseme ukweli... the guy must be gay!!!

tulivyoumbwa na muumbam, huwezi kuwa kichwa cha nyumba halafu ukawa unahanjahanja bila kujua kiwiliwili kiko wapi... kama sio gay basi ni hawa spoilt boys na wako wengi sana, hawataki kuwa rsponsible na acts zao... they still think they are "mammy's boy"

to cut the story short, huyo bidada

  • aweke mguu chini achape mbuga siku tatu tu, uone huyo jamaa atakavyovhenji
  • then wakae chini, tena kiutemi kuweka protocols za ndoa yao
  • tatu jamaa aseme huwa anaenda wapi

i have seen a case, kajamaa kanaenda kwao for a week halafu mdada analia, that is not just spoiling the boy, and by doing so, be sure that you are going to spoil the kids
 
Ni muhimu sana kuangalia ni wapi mlikutana je mlipendana kwa dhati kabla ya kuoana au ww ulikua umeficha makucha yako baada ya ndoa ukaanza kuyakunjua?wanaume wanahitaji kubembelezwa dadangu.Vuta subira kumbuka aahdi ulizozitoa kanisani au msikitini wakati mkifungua ndoa.Vumilia mmbembeleze wanaume wadhaifu sana kwa nyie mpe mapenzi ya dhati hata kama akichelewa usimuwekeee uso wa mbuzi.we utaona tu kalegea then mnaongea baada ya hapo mambo yanasonga kama kawaida.

Mlatie..naomba tuwekane sawa kidogo,

Hayo uliyoyasema wewe binafsi ulishajaribu kuyatekeleza kwa vitendo?? Samahani, uko kwenye ndoa?

Inawezekana kuna malaika wanaishi nasi huku duniani?
 
mimi na wewe ni sawa kabisa Nyamayao, yaani kabla ya kuliongelea swala mambo mengine hayaendi. napenda kuwa na amani ya moyo wangu, hata ukinidanganya ila tuwe tumeshaliongelea.

sawa kabisa, na kutudanganya wanatudanganya coz kama kakosea hawezi sema ukweli 100% kuzuia bomu kulipuka, but atleast tumeliongelea.
 
ni vizuri uchizi wenu mkaonyeshana wenyewe, watu nje wanajua mpo perfect, kumbe mnajua wenyewe. I like that kwa kweli.
that is what we call faking... and many end up drunkards, killers, sick etc

i dont think i support that one darling
 
@FL1

ndugu yangu naomba niseme ukweli... the guy must be gay!!!

tulivyoumbwa na muumbam, huwezi kuwa kichwa cha nyumba halafu ukawa unahanjahanja bila kujua kiwiliwili kiko wapi... kama sio gay basi ni hawa spoilt boys na wako wengi sana, hawataki kuwa rsponsible na acts zao... they still think they are "mammy's boy"

to cut the story short, huyo bidada

  • [*]aweke mguu chini achape mbuga siku tatu tu, uone huyo jamaa atakavyovhenji
    [*]then wakae chini, tena kiutemi kuweka protocols za ndoa yao
    [*]tatu jamaa aseme huwa anaenda wapi

i have seen a case, kajamaa kanaenda kwao for a week halafu mdada analia, that is not just spoiling the boy, and by doing so, be sure that you are going to spoil the kids

Cousin kilichobaki ndio hicho kupelekana kitemi no any other solution
 
Jamani hebu kina dada mama kwa upande mwingine tuangalie je inawezekana huyu mwanamke ana tatizo ndani ya ndoa yake ?
Kwa mwanaume kuondoka siku 5 na kurudi home bila kutaka maelezo yoyote inawezekana kagundua mambo ambayo mkewe labda amefanya na anashindwa kumwambia ?or The man is married secretly and that is where he spends his 5 days.
Si kawaida kwa ndoa ambayo haina hata mwaka mambo kuanza kwenda mrama namna hii utadhani wana 10 years
HOLY FIIIIIIIRRRE!!!May be is a Devil sprit ? :A S angry:

FL1, no matter what, hakuna justification ya vitendo vya kipuuzi kama hivyo. La hampendi mdada wa watu basi aache kumpotezea muda na kumfanya second best. Huyo dada bado ni mbichi sana and she can find her self a very very happy marriage. Not over yet for her. Tena ukizingatia hana kid wala zygote ....Ni raha tupu...aanze chap chap bila kuangalia makunyanzi!
 
Jamani hebu kina dada mama kwa upande mwingine tuangalie je inawezekana huyu mwanamke ana tatizo ndani ya ndoa yake ?
Kwa mwanaume kuondoka siku 5 na kurudi home bila kutaka maelezo yoyote inawezekana kagundua mambo ambayo mkewe labda amefanya na anashindwa kumwambia ?or The man is married secretly and that is where he spends his 5 days.
Si kawaida kwa ndoa ambayo haina hata mwaka mambo kuanza kwenda mrama namna hii utadhani wana 10 years
HOLY FIIIIIIIRRRE!!!May be is a Devil sprit ? :A S angry:

hata kama angekuwa na tatizo ndani ya ndoa yake, as a gentleman angekuwa wa kwanza kuinusuru ndoa yake kwa namna moja au nyingine kama kweli mapenzi/upendo upo, atackia kipi cha mkewe akakifanyia kazi bila kumshirikisha mkewe ambae ndio mhucka wa kitendo? atakuwa chizi bac.
 
Pole sana kwa matatizo yaliyokupata (yaliyompata rafiki yako). Nashindwa nianzaje lakini naamini suluhisho la matatizo mengi yaliyonje ya uwezo wa mwanadamu siku zote ni Mungu. Inawezekana wewe si muani wa huyo tunayemuita Mungu lakini nakusihi chukua hatua mjaribu leo. Piga magoti, umlilie yeye aliyekupa mume ambadilishe. Kuvunja ndoa siyo mwisho wa tatizo. Hakuna aliyeiona kesho isipokuwa Mungu peke yake. Hujui nini kitatokea next baada ya kuvunja hiyo ndoa iwapo utaamua kufanya hivyo. Nakushauri, ikiwezekana wala usiseme naye juu ya hilo kama mwenye anavyosema wewe Sema na Mungu. Mwambie Mungu yeye ni jibu la matatizo yote. Atambadilisha kuanzia jinsi anavyofikiri mpaka matendo yake. Atampa hekima na upendo. Unapoamua kumtegemea Mungu, jitoe mzima mzima, usichanganye mambo. Usilie, usihuzunike jibu lako lipo kwa Mungu. Mungu anakupenda, anakuwazia mema siku zote. Mungu akusaidie.

Abraham Lincon asante sana kwa ushauri mzuri sana kwa huyu mwanadada ..na imani yesu ni suluhisho la matatizo yetu pale tutakapo kubali na kuamini kuwa yeye ni bwana na mwokozi wa maisha yetu be blessed
 
ni vizuri uchizi wenu mkaonyeshana wenyewe, watu nje wanajua mpo perfect, kumbe mnajua wenyewe. I like that kwa kweli.

FP hapa sasa unajua faking leads to sickness actually huwa naona ni kama vile psychological torture
 
sawa kabisa, na kutudanganya wanatudanganya coz kama kakosea hawezi sema ukweli 100% kuzuia bomu kulipuka, but atleast tumeliongelea.

Dada Nyamayao,

Sina hakika kama watu wanajua kuwa dawa kuu ya stress ni kuongea. Inasaidia kupunguza maumifu yanayosababishwa na maswali mengi ambayo mtu huendeleaa kujiuliza pale anapoamua kumeza mambo rohoni. Siwezi kumshauri mtu kutumia njia ya kukaa kimya. Tit for tat...mnamalizana na kuendelea na mambo mengine. Unaweka rohoni kwani pesa unataka ukaweke bank kesho yake??
 
Huyu sasa asimtie Mungu majaribuni................. strength gani sasa anayoiomba? am-rest in peace? aache ujinga, huo mimi nauita ujinga. kwani hana kwao? si arudi ajipange upya? huyo mume ndo kila kitu? kama kila kitu chake ndo hivyo, yupo tayari kupoteza maisha? c'mon, atumie akili zake na yeye

mie nakuambiaje, kuna vioja kwenye hizi nyumba, bora zimezungukwa na kuta.
 
Back
Top Bottom