My hubby amekua addicted na online social networking

ha ha ha haaaa, hili jina la Brigitta, bibi yangu hawezi kulitamka mpaka leo...analitamka BIRINGITA.
Please Briggita, help us in this kindumbwendumbwe...lakini hebu nijaribu hivi kweli sio MAHABUBA kwa kiswahili?
Umeanza uchokozi naona!
 
6916D-hubby.gif
ha ha ha ha! mwanamke kafunika na mikono yake mbele mwanaume kafunika nyuma anyway they look funny

NB:

Siielewi jamani itei tei ni she/he? "My hubby amekua addicted na online social networking " title inajichanganya na maelezo ndani ya bandiko.
 
Wadau,ebu nisaidieni
Nnae huyu hubby av dated her for sometime.Alikua hana access ya internet kwa kipindi fulani lakini hivi majuzi kaanza kupata access cha kushangaza kuanzia ajiunge na mtandao mmoja wa kusocialize amekua hasikii wala haoni.
Kila kukicha yeye anaongeza new contact,either no. ya simu ama a messenger id ama ADD AS A FRIEND!!Lol
Halafu dharau za wazi zinaanza kujitokeza mara anitusi we mse...Mara asiwe na mood,safari zimekua nyingi siku hizi tena bila kuagwa.
Ukienda kwake unamkosa ukimwuliza uko wapi atasema oooh niko Sigara nakula samaki ama ooh nimemeenda kwa shangazi na hiyo ndo isambeeeee mpk usiku.
Ilifikia kipindi nikamkataza asiiendelee kuwepo kwenye hii mitandao lakini aliziba pamba akasema kamwe hawezitoka huko.Eti liwalo na liwe yeye ataendelea kuwepo.
Juzi kanidanganya live na nikagundua lakin bado anasisitiza kua hakudanganya,
Mie nimechoka nataka kufanya maamuzi,nlimwomba rafikie aongee nae akamwambia aachane na mimi kwani yeye anajua ni kitu gani anafanya na eti mimi siwezi muingilia kwenye mambo yake.
NAHISI NINAIBIWA NA WATONGOZAJI WA MTANDAONI MAANA NAJUA WAPO WENGI,nifanyeje jamani?
Mbaya ni kua message anazotumiwa siku hizi toka marafiki hawa wa mtandaoni zinaonyesha wazi kua kunakinachoendelea.
Weekend nlitoka nae outing kufika huko mara kakutana na mtu kamkimbilia,kumwuliza huyu ni nani oooh ni rafiki yangu wa online,jamani nachoka kabisaaaaaaaaaaa

Vumilia tu, mbona wanawake mna sifa kubwa ya uvumilivu...??? kwa nini likushindinde hili dogo...?? hebu cheki hapo chini mwenzio jinsi alivyoweza........hayo yote yanafanywa na kidume halafu mwanamke anavumilia

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA!

6916D-hubby.gif
ha ha ha ha! mwanamke kafunika na mikono yake mbele mwanaume kafunika nyuma anyway they look funny

Hahahaha! Sasa naanza kupata picha kamili.
Ndio raha ya kukaa karibu na waseminaristi!
 
Vumilia tu, mbona wanawake mna sifa kubwa ya uvumilivu...??? kwa nini likushindinde hili dogo...?? hebu cheki hapo chini mwenzio jinsi alivyoweza........hayo yote yanafanywa na kidume halafu mwanamke anavumilia

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA!

Hehehehe! Kiongozi kwa hiyo umeamua ku-confirm kuwa Iteitei lya kitee ni MWANAMKE? Kanyaga twende!
 
ha ha ha haaaa, hili jina la Brigitta, bibi yangu hawezi kulitamka mpaka leo...analitamka BIRINGITA.
Please Briggita, help us in this kindumbwendumbwe...lakini hebu nijaribu hivi kweli sio MAHABUBA kwa kiswahili?
Tatizo Blode!! sio kivile sana kwangu!
wapwa mnamuona huyu, ntampa kitu inauma!!
 
ni SHE huyu just in case umesahau
hapo kwenye kukumbushana ndo nakupendeaga, unajua huwa tunasahau sasna baada ya mavaluu kibao.
sasa ngoja niuendee hewani ili tufundishane pronaunciation, halafu, ndo turudi kwenye hayo aliyoyataja hapo..MAHABA
 
ha ha ha haaaa, hili jina la Brigitta, bibi yangu hawezi kulitamka mpaka leo...analitamka BIRINGITA.
Please Briggita, help us in this kindumbwendumbwe...lakini hebu nijaribu hivi kweli sio MAHABUBA kwa kiswahili?
Siyo kosa lako
Kuna watu kama wewe (sijui mmesoma shule zipi) Huwa mnashindwa kusoma halafu ugonjwa huo unaamia kwenye vidole.
Unaona Invicible we unasoma na kutaipu invisible
Unaona Bigirita we unasoma na kutaipu Briggita

Sijui tatizo huwa linakuwa kwenye kukremu, kutoona au spelingi misteki kwenye kiibodi?
 
hapo kwenye kukumbushana ndo nakupendeaga, unajua huwa tunasahau sasna baada ya mavaluu kibao.
sasa ngoja niuendee hewani ili tufundishane pronaunciation, halafu, ndo turudi kwenye hayo aliyoyataja hapo..MAHABA

hapo muhimu kabla miundo mbinu haijaharibika
mkirudi kwenye blue ntakuwa mtazamaji tu......

hiyo hapo hebu i-pronaunce vizuri nisikie! ni ile inatokea tumboni au ile inatokea kooni? plz

hii kweli imetoka tumboni.....nikiwa nimeishiwa nguvu kabisaa
 
wat iz confusing you here?
tatizo la kupeleka watoto intaneshino wakati nyie wenyewe darasa la nne....

biggy huyo mleta thread kibluray chake kinaleta mkanganyiko....

hubby anapenda social networks
Iteitei dated her.........sasa whose husband is this Itei tei talking about here??
could it be semenya type?
 
hapo muhimu kabla miundo mbinu haijaharibika
mkirudi kwenye blue ntakuwa mtazamaji tu......

hii kweli imetoka tumboni.....nikiwa nimeishiwa nguvu kabisaa

Dr mbona mchokozi,
unaninanihii kichokozi
Kweli nitamaliza dozii
Mbona sina tena malaria!!

Something like that!!
 
Back
Top Bottom