My hubby amekua addicted na online social networking

Rekebisha mama kabla sijachukua RB

nimekerebisha kabisa B....kwa post za mbele huoni tena hiyo faulo mzeee

Uko right.Anza sasa kumshauri kuwa anatakiwa kufunga ndoa kwanza ndio atumie neno Hubby.halafu hayo ya online friends ndio yafuatie.

sasa mbona umeshamshauri......mama Matesha na wewe!!!

Shikamoo my hubby!
Huyu iteitei ongea nae kichaga atakuelewa zaidi.

hahaaaaaa u are killing me leo
 
Anamaanisha they have been nanihii for quite some time and she feels kwa law of the land, washakuwa sweety halfs

which law of ze land???

hamna kitu hapo mbona kw amaelezo yake haioneshi hata wame-cohabit
 
fidel huwezi kusoma alama za nyakati?huyu dada kamkumbatia mumewe toka safari,mumewe kaja na rafikie dada na shemejie wakawa wanakiss maana mke haruhusiwi kumkumbatia shemejie kwa hawa wenzetu feki au nakosema jameni?

Hii avatar mm mwenyewe naona vitu vitatu hapo wewe ni yupi?
 
Jamani si tubaki kwenye hoja mbona tunaenda Shinyanga tena?

wewe mwenyewe unatufanya tuende huko, wewe uliolewa na huyo hubby wako? ndoa ipi hiyo maana kwenye maelezo siioni mie ujue???

Bado hujajibu hoja zao....Jibu then tukanyage twende...Wakati unasema Hubby ulimaanisha????

lazima ulikunywa mbege asbh leo, akili si za kawaida
 
If he is ur BF..ignore him... life goes on ... dont give priority to someone whom you are just an option in his life...
 
wewe mwenyewe unatufanya tuende huko, wewe uliolewa na huyo hubby wako? ndoa ipi hiyo maana kwenye maelezo siioni mie ujue???



lazima ulikunywa mbege asbh leo, akili si za kawaida

wakwetu acha kabisa hiyo kitu si mchezo....
 
vuta subira mamaaa! akichoka atakurudia tu! hao wa online ni part time tu!
 
vuta subira mamaaa! akichoka atakurudia tu! hao wa online ni part time tu!
Pape acha utani.Hapo hakuna cha kuvumilia.Kama huyio si mume wake bado bado basi bora aanze njia mapema atafute watakayeaminiana kwani inaonyesha huyo jmaa keshamchoka.
Na kama ni mume wake basi atafute namna ya kujadili suala hilo na mumewe.pia na yeye mwenyewe achunguze sababu ya mumewe kuhangaika online.Akishindwa atafute ushauri wa wazee.
 
Back
Top Bottom