My Hand Made SteadiCam

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Wakuu, baada ya kupata shida sana katika kupata video stabilization nimekuja na ubunifu binafsi kwa kutengeneza
SteadiCam ambayo imenisaidia sana kwenye kazi zangu.

Kwa sasa napiga video zenye kiwango ninachokitaka. Hapa chini nimeweka Sample video footage
nilizopiga kwa Canon HD M46 kuonesha nikiwa na SteadiCam na bila SteadiCam video inakuwaje

Tazama hapa:



My SteadiCam.mpg - YouTube

Test 2:



http://www.youtube.com/watch?v=K8mpkmBgUwE&feature=plcp

IMG_4829-1.jpg
 
Last edited by a moderator:
mkuu nice idea lakini presentation yako inaonekana kama unataka tujue tu kuwa wewe unaweza kufanya hivyo lakini hujatuambia umefanyaje hivyo,

Nokia imewachukua miaka mi tano kudevelop technologia yao ya pureview na moja ya feature yao ni ois(optical image stabilisation) ambayo inafanya kama kwenye video yako yani in stabilize video.

Wao nokia wakatueleza walivoweza kustabilize image kwa kutengeneza floating lens (lenzi inayoelea) ili kukitokea mtingishiko isiyumbe yumbe na kuharibu video

So na wewe mkuu tuambie umetumia nini? Huwezi jua labda umegundua technology inayoworth mamilioni ya shilingi
 
$14 Camera Stabilizer

top_big.jpg


DIY steadicam camera stabilizer
 
Mkuu, huja tufafanulia vizuri - hiyo FEAT yaku stabilize CAM umei-achieve kivipi? Digitally au Optically, ukisha tufafanulia tutachangia kikamilifu kwa kutoa maoni au ushauri, CHEERS.
 
Back
Top Bottom