My great loss

Pole wewe na wote waliofikwa na msiba huu. Mungu azidi kuwapata faraja.
 
Pole sana..ndio kazi ya Mungu ilivyo...iko sahihi siku zote. Haina makosa
 
Pole sana Mpita Njia. Mungu akupe nguvu ya kustahimili majonzi katika kipindi hiki kigumu.
RIP Mama.
 
........Pole sana Mpita Njia, Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
 
Pole sana Mkuu kwa kufikwa na msiba mkubwa. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Pole sana ndugu yetu... msiba wa mzazi ni kitu kisichoelezeka!
Tutazidi kukuweka kwenye sala zetu ili mungu akupe nguvu na pia kumuombea mama apate pumziko jema la milele.
 
Pole sana mkuu MN,

Nimezipokea habari hizi kwa masikitiko makubwa. My condolences mkuu.

Nitakutafuta Jumamosi kuwasilisha walau rambirambi zetu kwa niaba ya wana JF ambao nitaweza kuwasiliana nao kwa haraka (hasa walio Dar).
 
Mpita Njia, pole sana kwa kuondokewa na Mama yako mpendwa..Mungu akupe uvumilivu,faraja na ujasiri katika kipindi hiki kugumu kwenye maisha yako..Pole sana wewe na familia yenu yote!..
 
Nashukuru wote kwa salamu zenu zilizonipa faraja na kuniongezea nguvu
 
Dunia inaenda kasi sana, sikuiona hii thread.

Pola sana Mpitanjia..RIP Mama Mpitanjia.
 
Pole sana kaka, ndiyo maisha , kuzaliwa na kufa ni sehemu ya maisha, Usisikitike sana Bwana alitoa na pia ametwaa, JINA Lake LIHIMIDIWE.
 
pole sana mpita njia........yeye ametangulia na sisi tunamfata

mungu amlaze pema na awape nguvu mlioondokewa na kipenzi chenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom