My gorgeous little boy is here!!!

Hongera sana Pretty..tunamtakia mtoto mwanzo mzuri wa maisha yake
 
Hongera Pretty...nakutakia busara za malezi....dogo akue na afya njema....awe mwanaume bora!
 
Hongera Pretty. Naamini katoto kamefanana na baba ake kiasi kwamba DNA haina mamlaka, na imeshindwa na kulegea!

Ongeza juhudi upate na kengine bana.....
 
Hongera sana na pole na machungu ya kisu... Mungu akujalie umlee vema
 
Mungu akukuzie ktk kimo na maharifa,awe mtoto msikivu,mmenyekevu na zaidi ya yote mcha Mungu,amuepushe na magonjwa,macho mabaya,na wote wasiomtakia mema,Mungu akulinde na kuponya kidonda chako,akupe nduvu ya na maziwa kwa wingi,nawatakia afya njema.
 
aumwae kichwa na tumbo wote wanamaumivu na kila mmoja anaonyesha yake ni zaidi ni sawa na kulia na kucheka zote kelele
Hivi ipi inauma zaidi kati ya kisu au ile nachuro....samahani kama nimewakwaza, babu anataka kujua tu.
 
Hello wapendwa wanajf!!!
.......Hope you are all well, I'm so happy and thankful....God has blessed me with a healthy and beautiful baby boy.....I had a C section due to medical reasons, ila sasa nipo okay naendelea vizuri.

I'm so proud to be a mother.......safari ya miezi zaidi ya 9 ya kubeba kiumbe tumboni si mchezo, I salute all mothers out there.

“Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa na uruzukiwe wema wake”

“Insha'Allah Mwenyezi Mungu amkinge kutokana na kila uovu na uvamizi na kila jicho lenye husda na lenye kudhuru, Mwenyezi Mungu amkinge na maradhi na ampe afya na siha njema”

Amin
 
Hongera sana Pretty, I hope utagawa vizuri mapenzi yako kati ya mtoto na baba teh teh teh!!
 
Mungu akukuzie ktk kimo na maharifa,awe mtoto msikivu,mmenyekevu na zaidi ya yote mcha Mungu,amuepushe na magonjwa,macho mabaya,na wote wasiomtakia mema,Mungu akulinde na kuponya kidonda chako,akupe nduvu ya na maziwa kwa wingi,nawatakia afya njema.

Kwenye red unamaanisha 'Ndovu'?
 
Hivi ipi inauma zaidi kati ya kisu au ile nachuro....samahani kama nimewakwaza, babu anataka kujua tu.

Babu bwana... Maumivu ya kidole na jipu yote sawa.... sema nahic ile nechoro inapona haraka kuliko kisu
 
Hello wapendwa wanajf!!!
.......Hope you are all well, I'm so happy and thankful....God has blessed me with a healthy and beautiful baby boy.....I had a C section due to medical reasons, ila sasa nipo okay naendelea vizuri.

I'm so proud to be a mother.......safari ya miezi zaidi ya 9 ya kubeba kiumbe tumboni si mchezo, I salute all mothers out there.

Congratulations Mrembo! I am so happy for both of you and I wish you good healthy and hapiness in your life. Nakuomba upunguze mapilipili :smilez:. Thanks a lot for this update. Ni kweli miezi tisa ya ujazito si mchezo.
 
Hongera sana P, ni jambo la heri kuona wewe pamoja na kijana mpo salama.
 
Hongera sana P,

Tunakutakia furaha tele katika maisha yako na mwenzi wako. Nakuombea ujio wa mtoto uimarishe zaidi mahusiano yenu badala ya kupunguza nguvu ya bond yenu!

Naamini sasa utaweza kuelewa in black and white maana ya kuwa mzazi na ukiona vitoto vinachakachua na kuchakachuliwa huko mtaani somo litaeleweka.

Mungu awabariki sana...wewe mwenyewe, baba na mtoto wenu mpendwa!

Babu DC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom