My God, Uwiiiiiiiiii!!! Shiiiiiiit!!....

hamjambo jamani? mi mgeni ndo nazunguka zunguka mitaani tu. hili jukwaa linasisimua lakini
 
Kwa muda huu ambao taifa lina mambo lukuki sio muda wa kujadili maswala binafsi kama hayo.Mimi nadhani tujielekeze zaidi katika maswala mazito kama ya Dowans,mgao wa Umeme,kupanda kwa bei za bidhaa,mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi,Mwenendo wa bunge na mustakabali wa taifa,migomo vyuoni,matokeo mabaya form 4,ugonjwa wa ukimwi na mambo mengine mengi.

Aliekuleta pande hii ni nani. Rudi rudi kuleeee umepotea njia.
 
We ld upo wapi asee?
Asee savana nasikia zimekumis sana

Nipo bigirita kaka, tunakomaa na maisha huku sijui tutatoka lini, hayo masavana mi hayanipendi babu. Eti napendwa na mountain juu tu.
 
Back
Top Bottom