My God, Uwiiiiiiiiii!!! Shiiiiiiit!!....

kuna mmoja tulikuwa tunaheshimiana sana akanipigia simu usiku,kumbe alikuwa ana yake tukawa tunaongea maongezi ya kawaida tu,mara namsikia s...t kama mara kumi hivi nkachoka:coffee:
 
Hebu muulize uliyesikia akilia au akisema hayo maneno!!!! Kama uliyasikia kwenye adult movies,,, basi ila kama ni home, unamaana ulikuwa mmoja wapo!
 
Kwa muda huu ambao taifa lina mambo lukuki sio muda wa kujadili maswala binafsi kama hayo.Mimi nadhani tujielekeze zaidi katika maswala mazito kama ya Dowans,mgao wa Umeme,kupanda kwa bei za bidhaa,mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi,Mwenendo wa bunge na mustakabali wa taifa,migomo vyuoni,matokeo mabaya form 4,ugonjwa wa ukimwi na mambo mengine mengi.
 
Nenda kwenye siasa utakutana na yote uliyoyataja!
 
Kuna mwanamme anasema ooh my god, uwiii..,.. huyo atakuwa bwabwa kabisa.
 
Kuna dada niko nae hapa eti anasema kuna jamaa mmoja akiwa majamboz mwishoni anampiga hodi, eti hodi hodi hodiiiiiiiiiiiii nikaribishe basi kha jamani kila mtu anakituko chake
 
Back
Top Bottom