My God, Uwiiiiiiiiii!!! Shiiiiiiit!!....

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Wanaume wengi wanatumia mara kwa mara haya maneno bila kujijua wakati wanapofika mwisho wa safari. Hata ukicheki zile picha za video utasikia maneno hayo. Hivi huwa inaashiria nini?? Au ndiyo kuweweseka huko!?
 
Kwani Wewe mwanaume au mwanamke??ukishafahamu then inakusaidia nini sasa?embu uliza vitu vya maana bwana!
 
Ukitaka hilo jibu jiulize kwanza ni kwanini kila mtoto mchanga hulia ng'aaaa?hiyo ni kawaida ila hao wanaomaliza safari zao hvyo ni kama bado wapo driving schools,waingie kwenye bajaji mpaka wafikie usawa wa VX sio leo.sio tuliopitia kwa nyakanga hatuzungumzii hayo.tunazungumzia mazito zaidi
 
Mama yahya ni-PM hayo mazito zaidi
 
Kwani Wewe mwanaume au mwanamke??ukishafahamu then inakusaidia nini sasa?embu uliza vitu vya maana bwana!

KWAN ICHO SI CHA MAANA?
AU KWA VILE WAMETAJWA WANAUME?
ahh wengne wanalia nyauuu nyau...wengne wanajamba...wengne wanabweka km mbwa...
 
Waungwana wamemuuliza maswali ya msingi, amejuaje wanaume wanaliaje? Lazima awe chakula ya watu huyu, au la mpiga chabo.
 
Watu bwana inaonekana wamechoka na Dowans. Sasa wanataka kumpumzika. Mimi nakumbuka stori ya mzee mmoja aliyekuwa analia wakati wa 'chorus'. Sasa wakati fulani walilazimika kulala msibani na mke wake. Usiku mzee kama kawaida yake, akaanza kumwomba mchezo mkewe. Mke kusikia hivyo, akamweleza mzee kwamba hatathubutu kumpatia kwa sababu wataaibika wakati wa chorus kutokana na kelele zake za kulia. Mzee alibembeleza kwa muda mrefu sana mpaka hatiamaye mkewe akaamua kumpatia. Mzee alifurahi sana na kumuahidi mkewe kutopiga kelele hata kidogo. Mchezo ulipoanza mzee akaanza kunong'ona eti unaona mama nanii si nilikwambia leo silii hata kidogo. Aliendelea na tambo zake hizo huku akiendelea kupampu na mke akiendelea kumkatia mauno. Kadri libeneke lilivyozidi kusonga mbele, ndivyo maneno ya 'unaona mke wangu leo silii kabisa' yalivyokuwa yakisikika zaidi. Alipokaribia mwisho, mzee alitoa sauti kali zaidi na kulia mamaaaaa weeeeeeeee!! Watu waliokuwepo msibani walikurupuka na kuanza kujiuliza kulikoni. Mkewe alijitetea kwamba mzee ana tabia ya kuota ndoto mbaya. Mambo hayo!
 
Back
Top Bottom