My girlfriend hataki kugegedwa zaidi ya bao 1

Habari zenu jamani, ninashemeji yenu ambae nipo nae kwenye relation almost 3 years until now.

Lakini tatizo kubwa alilonalo huwa hapendi nimgegede Mara 2 (goli 2), anasema mimi huwa nakawia kumaliza nikifanya Mara 2 hajisikii raha zaidi ya maumivu, na siku nikiamua kuforce nimgegede goli 2 kurudi gheto ni issue atanisumbua Sana Leo kesho nyingi,

Na mimi naona ka goli ka1 hakanitoshi kabisaaa nifanyaje?
Naomba kuwasilisha!
Swala ni interval kati ya magoli unayo tupia, ukute unatupia kimoja haipiti dakika kumi unamrukia tena.... Lazima akimbie maana sio raha tena ni karaha...
 
Habari zenu jamani, ninashemeji yenu ambae nipo nae kwenye relation almost 3 years until now.

Lakini tatizo kubwa alilonalo huwa hapendi nimgegede Mara 2 (goli 2), anasema mimi huwa nakawia kumaliza nikifanya Mara 2 hajisikii raha zaidi ya maumivu, na siku nikiamua kuforce nimgegede goli 2 kurudi gheto ni issue atanisumbua Sana Leo kesho nyingi,

Na mimi naona ka goli ka1 hakanitoshi kabisaaa nifanyaje?
Naomba kuwasilisha!
Dogo ngoja nikupe maujanja, Goli la pili linahitaji utulivu na staha, na lazima uwe mtu wa patience, lipe nafasi sio umemaliza la kwanza unangoja kidogo halafu unataka kusukuma mzigo tena hapo ni lazima utamchubua na atachukia kufanya maana hayuko tayari na hujamuandaa,

Goli la pili unamvutia kasi kwanza weka interval(gap) nzuri hata masaa mawili after goli la kwanza wakati mpo mapumziko jitahidi sana kuwa mbunifu kuleta michezo itakayo anza taratibu kuinua hamu kwake kwa mfano kucheza kitandani na mito kwa kumrushia, pia kumshikashika sehumu kuntu, halafu mnaenda kuoga pamoja, mnakula pamoja,mnapiga story, mnasikiliza nyimbo na hata kuangalia movie baada ya muda fulani utaona hamu inampanda mara atainua miguu akikuruhusu mzame kwenye dimbwi la mahaba na green light itawaka ready to go,

love is an art banah......
 
Back
Top Bottom