My girlfriend has a girlfriend

kwa nini asitii kiu yake? kwa nini asifanye ile kitu roho inaburudika? kama anaweza kuishi na huyo mwanamke mwenzake, aombe divorce kwa mumewe then aishi na huyo msagaji mwenzake!!! kama mtoto si kashapata?
 
Huyo njombi yuko closed-minded tu. Ni wa kwenda naye mwendo wa jongoo na mwenyewe ataingia laini.
Na kweli huyu jamaa ni wa kwenda naye mwendo wa jongoo usishangae baadae jamaa akawa anapiga THREESOME na hao wawili wengine(his wife and that other chick).
 
My dear
thank you so much for this
beautiful artical..
but the thing is she doesn't want her hubby
any more.. she just want her son and family members
Except her husband..
she is looking for the way to break this news without
creating a big drummer..
she is ready to move on..

Then, she(?) should move on. But if she just wants to move on with her(?) son and family members, then there is a possibility that if they find out later then they won't want her(?) too, bearing in mind her(s) is a pastor. Further, if this is the case, then the child's interests might be at risk. Do you feel morally guilty that you know all this but you're not going to do nothing. Don't get me wrong, you're not the one to blame despite knowing this, but how do you feel?
 
ANALYSIS
-yuko kwenye ndoa
-ana mtoto wa miaka 5
-wanaishi maisha ya amani
-ameburudika na mwanamke mwenziwe na mzuka ukakolea kuliko akiwa na mume wake
-anataka kufunga ndoa na mwanamke mwenzake.

SUALI: AD huyu mdada anatafuta ushauri wa lipi jema? au anatafuta ushauri wa jinsi gani amwambie mume wake na aridhie? au vipi atavunja ndoa yake ili akaolewe na hako ka blender.

NIONAVYO MIMI: Hatafuti ushauri, soma hapo red juu, she is after something and she chose u ............................ hapa kwenye dots atamalizia ze finest.

halaf tangu jana nimeongezewa kamshahara kazini basi niko serious kweli, unaombwa usipuuzie huu ushauri nimeoteshwa yaani.
 
Hapo kwenye dots nafumba macho, ankal inawezekana kwa kiasi kikubwa huyu rafiki yake AD anatafuta ushauri jinsi gani ya kumwambia mume wake na sio namna gani ya kuacha hako kamchezo maana ameishakuwa PROFESSIONAL PLAYER, I tell you wengi wao wanaofanya hako kamchezo kuacha ni ngumu sana
 
Bado sijaelewa anaomba ushauri juu ya nini, inaonekana anapenda sana huyu bibi yake wa kike, daah ntarudi.:noidea:
 
halafu hawa watoto wa wachungaji vipi jamani..............yaani nikama wameng'oa koki...........wengi wao hawajaseto kabisa

ANALYSIS
-yuko kwenye ndoa
-ana mtoto wa miaka 5
-wanaishi maisha ya amani
-ameburudika na mwanamke mwenziwe na mzuka ukakolea kuliko akiwa na mume wake
-anataka kufunga ndoa na mwanamke mwenzake.

SUALI: AD huyu mdada anatafuta ushauri wa lipi jema? au anatafuta ushauri wa jinsi gani amwambie mume wake na aridhie? au vipi atavunja ndoa yake ili akaolewe na hako ka blender.

NIONAVYO MIMI: Hatafuti ushauri, soma hapo red juu, she is after something and she chose u ............................ hapa kwenye dots atamalizia ze finest.

halaf tangu jana nimeongezewa kamshahara kazini basi niko serious kweli, unaombwa usipuuzie huu ushauri nimeoteshwa yaani.
mmmhhhh
Hapana unavyofikiria sivyo..
yeye anataka ushauri wa kuchapa
Mwendo bila ku creat a big drummer..
 
Mapenzi ameshahamishia kwa huyo GF wake
Inaonekana hawezi kuinusuru ndoa yake tena
Aende kuolewa na huyo GF wake amwache mtoto kwa babake
asije kumwambukiza tabia mbaya mwisho wa siku mtoto naye
akawa kama mama yake
 
Yeah huu ushauri wa busara aombe talaka aende akaolewa na huyo msagaji.
Bora afanye mapema kabla jamaa hajagundua maana itakuwa balaaa.
 
mmmhhhh
Hapana unavyofikiria sivyo..
yeye anataka ushauri wa kuchapa
Mwendo bila ku creat a big drummer..
Hivi umemuuliza kuwa kama anaweza kuacha haka kamchezo amekujibu vipi?? Maana i doubt kama anaweza kuacha
 
Yeah huu ushauri wa busara aombe talaka aende akaolewa na huyo msagaji.
Bora afanye mapema kabla jamaa hajagundua maana itakuwa balaaa.
Hommie inakuwaje ebwana ile juzi kati tulikuwa tunazungumzia ishu hizi hizi
 
Hivi umemuuliza kuwa kama anaweza kuacha haka kamchezo amekujibu vipi?? Maana i doubt kama anaweza kuacha

Kamchezo kakisha ingia kwenye damu ni ngumu kuacha hata ule mchezo wa kujiexpress huwezi kuacha kamwe.
 
Mapenzi ameshahamishia kwa huyo GF wake
Inaonekana hawezi kuinusuru ndoa yake tena
Aende kuolewa na huyo GF wake amwache mtoto kwa babake
asije kumwambukiza tabia mbaya mwisho wa siku mtoto naye
akawa kama mama yake
nope, anaweza kabisa kuishi na familia yake vizuri huku akiishi na GF wake
!!huh,i wish if i could meet this kinda of gal
 
Back
Top Bottom