Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,876
- 2,744
huyu dogo hapo juu nimeupenda sana wimbo wake wa mtoto Hidaya na huwa naujengea taswira huu wimbo kichwani kila unapopogwa. tatizo ni moja, pale anaposema mpenzi wake ana sura mbaya! Dogo, badili hicho kipande na umsifie huyo dada kwa kila kitu na watu watautumia huo wimbo kwa mengi. toa version II ya huo wimbo. Pia nimepata feeling kuwa nitakurudisha studio unitengenezee huo wimbo kwa mahitaji yangu tu siku nitakapoamua kuoa. Badala ya Hidaya utaweka jina la mpenzi wangu na vionjo vingine, kwa gharama utakayohitaji wewe. Wadau mpeni dogo hizi taarifa kama hata access huku