My first time in Tanzania

Status
Not open for further replies.
Ok folks, so this december me and close family decided to take a tour of your lovely country and I must add i really enjoyed it. We decided to do it by road in order to get a real veiw of the country. We went in from nairobi to Arusha then to Dar and then to Zanzibar and back to Kenya through Mombasa.

First thing that struck me was the expanse of the country....wow, tracks and tracks of good arable land just sitting there idle...lool..sorry for being a kenyan but i just couldnt help but salivate. Arusha was a pleasant surprise...nice city, there was alot of similarities with nairobi.....the cool weather and the lush green gardens, the streets were a little narrow though. The night was really warm unlike nairobi (maybe it was just in the hotel we were in) . The food was grat and surprisingly cheap, we really get a raw deal here in Kenya.

The trip to Dar was amazing, really beautiful landscapes, great open spaces, very few people. I really enjoyed it. But the trip can be long ant tiresome. Another thing is buses go really fast there unlike Kenya. i guess they have to given the distances they have to cover.

Dar was ok, but damn, the town is soooo sleepy and slow, but i guess it was also the holiday season. i wonder how it feel like sometime in the middle of the year. The city also looked clean, which was nice. it wasnt as hot as i expected. Mombasa is certainly hotter. There seemed to be air conditioning everywhere even in the cheap hotels, made me wonder what the cost of electricity is there.

Zanzibar was the best place ever. The people for some reason seemed friendlier that those on the mainland, where we were called manyang'ua and wachafuzi wa nchi...etc.(but most people were ok) the food culture in Zanzibar is great, i loved it.

All in all i loved the country........cheers

best regards to all the citizens of "now robbing"
 
Mie nilidhani hujui unachoongea kumbe wewe ni mwathirika wa moja kwa moja wa wakenya? Acha kuhubiri injili kwenye mambo ya kitaifa; tangu lini kenya wakawa ni our natural partners badala ya natural enemies. Mie nawadharau sana wanaccm lakini ktk swala la wakenya tupo pamoja sana. Unasema wanasiasa wa kitz wanaogopa kuumbuka! nani anatakiwa kuogopa kuumbuka kati ya wanasiasa wa kitz na kikenya? Aliyefumbia macho familia chache zikamiliki ardhi ya nchi au yule anayesuasua ktk usimamiaji wa sheria za nchi? Hebu niambie ni wakati gani kenya imekuwa jirani wa kuaminika kwa TZ! Mie najua wakati wote kenya imekuwa ni adui wa uhakika wa kudumu. Wewe kama unafanya kazi na wakenya tafuta namna ya kuwafurahisha lakini sio kuja kupost unafiki hapa JF. Tena nikuhakikishie kabisa kuwa hao ndugu zako wakijitoa au kutolewa leo basi shirikisho linaweza kufikiwa hata kesho. Tatizo kubwa la EAC ni uhusiano mbovu kati ya TZ na kenya na kumaliza tatizo hili ni mpaka wakenya wafundishwe ustaarabu, ubinadamu na waache kupayuka payuka ovyo wakijifanya eti wao wako juu kwa kila kitu hapa East Africa.Nakushangaa mtu ambaye umeonja hata joto ya jiwe ya wakenya unaongea mambo yasiyoeleweka! Unaposema yale yamepita unatuhakikishiaje kuwa hata wakenya wanaona yale yamepita na sio kuwa njaa ya ardhi ndio inawafanya wajifanye wanataka umoja? Usitulazimishe watz tuwe uwanja wa wakenya kurekebishia makosa yao. Wewe sio mtu wa kutuambia ya kale yamepita, wewe ulitakiwa uwe unatushauri ni nchi zipi zimekuwa marafiki na majirani waaminifu wa Tanzania na hivyo ndio tuimarishe uhusiano ikiwezekana tuungane nao.
Waafrika bwana watu wa ajabu! I hope utakuwa na feeling kama hizo wa Wachina na Wahindi waliojaa TZ!
 
This thread was meant to cause a healthy discussion. I would prefer if we kept it that way. Thank you :)
Please Mnairobi! healthy discussion can't be witnessed unless Kenyans display a healthy behaviour.
 
Waafrika bwana watu wa ajabu! I hope utakuwa na feeling kama hizo wa Wachina na Wahindi waliojaa TZ!
Nilikuwa sijajua kama naongea na mtu ambaye sio Mwaafrika, lakini Shida yangu sio kupinga interaction, napingana na tabia mbaya za wakenya. Sasa wewe unaona ni bora kuishi pamoja na wakenya kuliko kufanya biashara na wachina au wahindi. Nikuhakikishia kuwa ni bora kuendelea kufanya biashara na wakenya, wachina na wengineo kama njia ya kutafuta maendeleo kuliko kuongelea habari ya umoja na wakenya. Kwanza nakushangaa unaposema waafrika watu wa ajabu, je hao wengine kama wazungu, waarabu, wahindi na wengineo mbona nao hawaendekezi kitu kinachoitwa muungano sana sana wanahangaika kushindana. Bwana Sijali suluhu ya matatizo sio moja, usiwe kama umesetiwa, kama muungano ni suluhu pekee basi sie tulitakiwa tuwe moja ya mataifa yaliyoendelea kiuchumi Africa. Waambie wakenya kuwa sie tunataka ushindani wa kimaendeleo sio kushirikiana ktk kutumia raslimali za Tanzania. Hatuwezi kubadilishana Ardhi na Phd waliyompa kikwete maana that is the only thing kenyans can offer, otherwise they have nothing to offer in exchange.
 
Well said Kibona, hata warafiki wetu wa zamani tuishi nao vizuri. Miungano kwa sasa michosho, let's cooperate kwa mambo yenye faida kwetu..kwa Kenya hiyo ni impossible. Hao wanaowataka wahamie huko! Let's focus on domestic issues kwa sasa..they are plenty!

Hivi ardhi hiyo nyie watz mnaitumia inavyotakiwa?Kama bado mtu au watu kama wewe mnaogopa wakenya kuchukua ardhi yenu nadhani hamko sahii kabisa kwani hiyo ardhi mmeifanya iwe dead capital sasa hapo manufaa yako wapi?
Fikra zenye woga kama hizo hazifai kuishi siku hizi.
 
Nilikuwa sijajua kama naongea na mtu ambaye sio Mwaafrika, lakini Shida yangu sio kupinga interaction, napingana na tabia mbaya za wakenya. Sasa wewe unaona ni bora kuishi pamoja na wakenya kuliko kufanya biashara na wachina au wahindi. Nikuhakikishia kuwa ni bora kuendelea kufanya biashara na wakenya, wachina na wengineo kama njia ya kutafuta maendeleo kuliko kuongelea habari ya umoja na wakenya. Kwanza nakushangaa unaposema waafrika watu wa ajabu, je hao wengine kama wazungu, waarabu, wahindi na wengineo mbona nao hawaendekezi kitu kinachoitwa muungano sana sana wanahangaika kushindana. Bwana Sijali suluhu ya matatizo sio moja, usiwe kama umesetiwa, kama muungano ni suluhu pekee basi sie tulitakiwa tuwe moja ya mataifa yaliyoendelea kiuchumi Africa. Waambie wakenya kuwa sie tunataka ushindani wa kimaendeleo sio kushirikiana ktk kutumia raslimali za Tanzania. Hatuwezi kubadilishana Ardhi na Phd waliyompa kikwete maana that is the only thing kenyans can offer, otherwise they have nothing to offer in exchange.

Tatizo lako huna mashiko katika hoja zako. Kwanza una-generalise, jambo ambalo ni hatari sana kwani siyo kila Mtanzania ni malaika. Unajua 'baadhi' ya Wachagga wanafanya nini Nairobi?

Pili, nadhani thread ilianza na raia wa Kenya kutoa picha nzuri ya safari yake Tanzania. Kugeuka ghafla kwa wachangiaji wa Tanzania na kuanza kurusha tuhuma na shutuma ndiko kulikonifanya niandike jibu lililoanza kwa 'what happened to my country` Kwa sababu si kitu cha kawaida kwa mtu akusifiaye ukaanza kumtukana!

Mnairobi hakuzungumzia kamwe juu ya shirikisho. Huenda yeye pia analipinga. Kwa nini unadhania Wakenya wote wanataka ushirikiano na Tanzania? Tena kwa nguvu?

Baadhi ya matamshi yako yenye maana 'Kenya has nothing to offer' kwa kweli ni ya kupotosha na ni aina ya upayukaji usioandamana na hali halisi ya mambo. Yawezekana tatizo lako ni kuwa hujasafiri nje ya Tanzania.....?! Kwani nijuavyo, si Kenya tu bali hata Uganda has a lot to offer to Tanzania and vv.

So please, don't be so anal.
 
Tatizo lako huna mashiko katika hoja zako. Kwanza una-generalise, jambo ambalo ni hatari sana kwani siyo kila Mtanzania ni malaika. Unajua 'baadhi' ya Wachagga wanafanya nini Nairobi?
Pili, nadhani thread ilianza na raia wa Kenya kutoa picha nzuri ya safari yake Tanzania. Kugeuka ghafla kwa wachangiaji wa Tanzania na kuanza kurusha tuhuma na shutuma ndiko kulikonifanya niandike jibu lililoanza kwa 'what happened to my country` Kwa sababu si kitu cha kawaida kwa mtu akusifiaye ukaanza kumtukana!
Mnairobi hakuzungumzia kamwe juu ya shirikisho. Huenda yeye pia analipinga. Kwa nini unadhania Wakenya wote wanataka ushirikiano na Tanzania? Tena kwa nguvu?
Baadhi ya matamshi yako yenye maana 'Kenya has nothing to offer' kwa kweli ni ya kupotosha na ni aina ya upayukaji usioandamana na hali halisi ya mambo. Yawezekana tatizo lako ni kuwa hujasafiri nje ya Tanzania.....?! Kwani nijuavyo, si Kenya tu bali hata Uganda has a lot to offer to Tanzania and vv. So please, don't be so anal.

Agree with you.....
 
oyaaa masela acheni kumtoa amani na utulivu mshikaji...du watu mna bifu...
 
Aisee ni bahati mbaya siwezi kudisplay hata kazi yangu hapa jamvini kwa hiyo ni bahati mbaya kuwa hiyo limited exposure yako inakufanya uone kama vile mie sijui what is happening outside Tanzania. Nikuhakikishie kuwa sijafika Burundi tu hapa ktk EAC nadhani wewe ndo hujui kinachoendelea, najua kuwa huyo mkenya anaisifia Tanzania na ndo maana mwanzoni sikuanza kumjibu yeye lakini hizo sifa haziwezi kunifanya nione aibu kukujibu wewe uliyetuletea mahubiri ya tusahau yaliyopita. Na kama wewe ulitaka kusaidiana na mkenya usingeeleza ulivyonyanyasika Nairobi enzi za kenyata na Moi, pamoja na kwamba ulinyanyasika wewe lakini hiyo ilitokana na Utanzania wako kwahiyo hiyo inanihusu. Na wewe unasema enzi za moi na kenyata inaonesha sasa hivi aidha unaelewana nao au unakaa mbali nao sasa. Lakini mie narifaa mahusiano ninayoyaona sasa na mindset ya wakenya kuelekea watanzania. Mwisho mie nimesema kenya has nothing to offer sijasema na uganda, na kwenye post yangu ya kwanza nimesema ikiondoka kenya EAC shirikisho linawezapatikana hata kesho; maana yake ni kuwa others have got something to offer but not kenyans. Sasa wewe umekaa kenya hebu niambia kenya wataoffer nini kitakachoweza kutufanya sie tuignore hilo bomu walilonalo la watu wasiokuwa na ardhi? Hata kwenye EAC wanachong'ang'ania ni ardhi, free movement na security, kama wana nia njema kwanini wasihamasishe kuunganisha yale mashirika yaliyovunjika wakati ilipocollapse ile ya kwanza? Take note! sina shida na sifa anazozitoa Mnairobi juu ya hiyo trip lakini siwezi kuuza uhuru wa kukwambia kwa sababu ya sifa zisizolipa, hasa nikizingatia kuwa mtz mwenzangu(japo sina uhakika) umejiita "Sijali" inawezekana jina lina implication kuwa wewe ni mtu wa kutojali kabisa, wakati mkenya kajiita Mnairobi kuonesha anauchungu sana na Nairobi kwa namna nyingine kenya na kwahiyo hizo sifa anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
mji wa dar ni mchafu sana au wewe ni barozi wa kenya tz? Pia hauko slow kama unavyodi, inamaana haukusia ata zile spika za dawa ya panya na mapunye.
 
Another bragger...

I traveled from Mombasa to Nairobi by Akamba Bus.... The bastard was doing 120 km/hour..!! Is that what you call slow?.. Good thing about the Mombasa-Nairobi stretch is that the road has a separate "climbing lane" on all up-hill potions, which all slow vehicles and heavily loaded trucks use to climb the hill.... Otherwise...God Almighty!!! I could have been up among the stars by now.

just wondering why stars are so inaccesible thay you have die to get there?
 
I sense some sort of prejudicial and discrimination surroundings. Anyone who will belittle others in order to make themselves superior is an ingnorant, coward, and illiterate. It is sad tht ths is happening within our own region, ethnic background and to say the truth whites will always use ths against us and we a so foolish coz we always fall in their traps. We a all blacks for goodness sake
 
We got hate amongst our selves yet we want to compete with people that have icredible unity and common purpose (westerner)......what a shame. They call it the crab mentality...'if i cant have it, neither can you'.Crabs in a bucket will never let another crab trying to escape to climb out. They will always pull them each other back leading to the demise of all.
 
Naona ukenya (ugonjwa) wako unaanza kujitokeza. Chunga sana hiyo lugha ya kinyan'gau unayotumia!
My dear ignorant, mr/ms know it all, good for nothin, low life friend. its always unfortunate to meet such people of ur who cannot think beyond your nose. Wake up and smell the coffee we a in 2012 and nt 1800 where ignorant and stupid ppl lived by believin there a ppl who a better off than others. Sasa uchunge maneno yako wewe
 
Aisee ni bahati mbaya siwezi kudisplay hata kazi yangu hapa jamvini kwa hiyo ni bahati mbaya kuwa hiyo limited exposure yako inakufanya uone kama vile mie sijui what is happening outside Tanzania. Nikuhakikishie kuwa sijafika Burundi tu hapa ktk EAC nadhani wewe ndo hujui kinachoendelea, najua kuwa huyo mkenya anaisifia Tanzania na ndo maana mwanzoni sikuanza kumjibu yeye lakini hizo sifa haziwezi kunifanya nione aibu kukujibu wewe uliyetuletea mahubiri ya tusahau yaliyopita. Na kama wewe ulitaka kusaidiana na mkenya usingeeleza ulivyonyanyasika Nairobi enzi za kenyata na Moi, pamoja na kwamba ulinyanyasika wewe lakini hiyo ilitokana na Utanzania wako kwahiyo hiyo inanihusu. Na wewe unasema enzi za moi na kenyata inaonesha sasa hivi aidha unaelewana nao au unakaa mbali nao sasa. Lakini mie narifaa mahusiano ninayoyaona sasa na mindset ya wakenya kuelekea watanzania. Mwisho mie nimesema kenya has nothing to offer sijasema na uganda, na kwenye post yangu ya kwanza nimesema ikiondoka kenya EAC shirikisho linawezapatikana hata kesho; maana yake ni kuwa others have got something to offer but not kenyans. Sasa wewe umekaa kenya hebu niambia kenya wataoffer nini kitakachoweza kutufanya sie tuignore hilo bomu walilonalo la watu wasiokuwa na ardhi? Hata kwenye EAC wanachong'ang'ania ni ardhi, free movement na security, kama wana nia njema kwanini wasihamasishe kuunganisha yale mashirika yaliyovunjika wakati ilipocollapse ile ya kwanza? Take note! sina shida na sifa anazozitoa Mnairobi juu ya hiyo trip lakini siwezi kuuza uhuru wa kukwambia kwa sababu ya sifa zisizolipa, hasa nikizingatia kuwa mtz mwenzangu(japo sina uhakika) umejiita "Sijali" inawezekana jina lina implication kuwa wewe ni mtu wa kutojali kabisa, wakati mkenya kajiita Mnairobi kuonesha anauchungu sana na Nairobi kwa namna nyingine kenya na kwahiyo hizo sifa anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Typical Tanzanian mindset! Sasa cheo chako kinahusika na nini katika kuchangia hoja. Hata kama wewe ni JK, so what?
Tunazungumzia hoja hapa.
Nilivyokutathmini una chuki binafsi na Kenya, na hizi ndio unazozipika kuzifanya ni chuki za uzalendo zitakazoisaidia Tanzania. Hakuna nchi duniani inayojengwa kwa chuki, bali kwa maslahi.
Pili: wewe ni mtu wa one-issue mentality. Yaani inakuwia vigumu kutasawari picha kubwa (to have a bigger picture). Umeshikilia ardhi , ardhi, ardhi.... zaidi ya ardhi? Na mbona ni Kenya tu? Hata Rwanda hawana ardhi, tena zaidi kuliko Kenya. Badala ya kufikiria practical solution.....kwa mfano serikali ya Tanzania ku-survey ardhi yote na kuwamilikisha Watanzania na kuweka masharti ya end-user etc..unataka tu serikali ing'ang'anie viplot! Hiyo ndiyo kazi ya serikali?
Halafu nakushangaa sana. Hujasikia mashirika mawili ya Marekani ya Agriculture yamekatiwa zaidi ya ekari milioni kuanzisha Agro-industry sehemu za Rusumo? Nani mwenye hatari zaidi hapa, ni Wamarekani kuchukua ardhi (ambayo hamtaweza kamwe kuirudisha, kwani wataweka masharti katika mikataba, sawa na ardhi yenu iliyochukuliwa na wachimba migodi), au Wakenya ambao hata wakinunua utaweza kupita na kuomba maji ya kunywa?

Kama wewe kweli ni mmoja wa decision makers huko Tanzania.......... May God have mercy on us!
 
My dear ignorant, mr/ms know it all, good for nothin, low life friend. its always unfortunate to meet such people of ur who cannot think beyond your nose. Wake up and smell the coffee we a in 2012 and nt 1800 where ignorant and stupid ppl lived by believin there a ppl who a better off than others. Sasa uchunge maneno yako wewe
Why are you being so carnaptious? Let me tell you; I am neither perturbed nor addled by a numskull of your type. Your highfalutin only serves to show what type of a homunculus you are and that nyang'aus (not all Kenyans) are incompossible. Come back again you rasclaat!

gugu: weed, undergrowth, thicket, brush. Swahili Dictionary
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom