My fathers first political view: Mbowe should be a president!!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,912
It was in 2005, when i was sitting with him watching news , it was CHADEMA's Campaign rally aired with Mbowe shooting, and shooting..i heard his first political view after being with him for 28 yrs, " I like this Guy, he should be a PRESIDENT!!" ..that was the only political view i ever heard from him , a 6 degree man(-two masters-one PHD) , one among the learned and intelligent man i have met...May him rest in peace!! I never asked him why?? But i do wait for this man Named Mbowe to persuade my votes for him in 2015.
 
Umetumwa na nani na kwa nini?

Join Date : 28th June 2012
Posts : 116
Rep Power : 326
Likes Received 34
Likes Given 2
 
umetumwa na nani na kwa nini?

join date : 28th june 2012
posts : 116
rep power : 326
likes received 34
likes given 2

ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi unafikiri kuwepo hapa long time ndio kunakufanya uwe na busara kuliko nani??akili kama za ccm eti kwa sababu chama kina miaka 50 na basi ndio chama bora vunguka wee mtu anaweza kujoin leo na akawa na mawazo mbadala kuliko wewe wa zamani,mwache mtu afunguke kwani hisia zake zinakuuma nini wewe au wewe ni jack zoka???

Hata mimi naamini freeman aikael mbowe anaweza kuwa raisi bora kuliko wote tanzania
 
Aje Mbowe au kiongozi mwingine yeyote hatafanya maamuzi yake zaidi ya kutekeleza majukumu ya wenye dunia na hivyo hakuna lolote litakalobadilika.
 
Umetumwa na nani na kwa nini?

Join Date : 28th June 2012
Posts : 116
Rep Power : 326
Likes Received 34
Likes Given 2

IS there limitation of time for one to join in any forum.?? are views limited to only FEW LIKE U??? GIVE ME A BREAK!!!
 
Magamba hawawezi digest, ingawa wanampenda magufuli pale wanapotaka sifa. We need a president who make things to happen, a president ambaye anaahidi kile aaminicho kinatekelezeka na kukitekeleza.Magamba bado wanaahidi pamoja na kuwa miaka 50 wapo madarakani.Wanataka kubaki huku waki act kama wapinzani.
 
Umeutumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kumkashifu mtu,sikupingi wala sikuungi mkono kwa maana bado kuna masuala ya msingi ninayotakiwa kuyazungumzia zaidi ya hili.Naamini muda utakapofika tutayazungumzia yote haya lakini ni lazima tuwe waangalifu kwenye kila neno maana linaweza sababisha mgawanyiko ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom